Vipi kuhusu platform sawa kwa vyama vyote vya siasa?Unataka demokrasia km ile ya mababeberu mapolisi wanaoua watu hadharani ?
Hatutaki demokrasia inayokuja na utamaduni wa Mabeberu ,makonda amewekewa vikwazo Kwasababu aliwanyima mashoga ya dar demokrasia kina lissu wakaenda kumsemea
Demokrasia yetu lazima izingatie utamaduni wetu
Vipi kuhusu platform sawa kwa vyama vyote vya siasa?
Uchaguzi lazima uwepo hilo halipongiki! Msitafute visingizio!.Kwa hali ilivyo na muda uliobaki sidhani kama uchaguzi utakuwepo na hata kama ukiwepo tusitegemee kitu kinachoitwa UCHAGUZI katika uhalisia wake.
Jr[emoji769]
Unanadi sera kipindi cha kazi na siasa zisha kwisha,siasa isubiri kipindi cha siasa,demokrasia kwanza ni kitu gani ktk bara la Africa maana na yenyewe ni njia ya kutufanya tuwe masikini tu, tunahangaika na demokrasia ktk bara masikini linalo hitaji kufanya kazi kwa bidii ili litoke kwenye umasikini ninyi mnatuambia kuna mdudu anaitwa demokrasiaTangu baada ya uchaguzi wa 2015 ni ukweli usiofichika kuwa Demokrasia ya vyama vingi imepitia katika mtihani mkubwa.
Zuio la shughuli za kisiasa kwa vyama pinzani,hamahama ya waliochaguliwa toka upinzani kwenda kuunga mkono juhudi, kesi za hapa na pale, uondoaji wa viongozi wa kisiasa katika halmashauri au majiji yanayoongozwa na upinzani, ukosefu wa jukwaa huru kwa vyama vya upinzani kunadi sera zao na kadhalika.
Tuna miezi minne kabla ya uchaguzi na hakuna dalili za kuiboresha hali zaidi ya kuongeza hofu.
Wakati yote yanafanyika dunia imeelekeza taa yake kubwa kwetu (Makonda kuzuiwa kuingia USA) na mengine.
Tujitafakari na njia tunayochukua. Je, itakuwa na tija kwa Taifa letu?
Ni kweli kabisa uliyozungumza lakini nina maswali mawili,ni nani alitulazimisha tukubali siasa za vyama vingi?La pili ni wapi ambapo Maendeleo yalifanikiwa bila kuwa na demokrasia(Germany under Hitler-Miundombinu ya nguvu,uchumi mkubwa at last uka collapse na vita,Libya mpaka pesa ya kuolea unapewa na nyumba ya kuishi lakini bila demokrasia wameishia wapi,Urusi inameguka vipande vipande etc etc.)Unanadi sera kipindi cha kazi na siasa zisha kwisha,siasa isubiri kipindi cha siasa,demokrasia kwanza ni kitu gani ktk bara la Africa maana na yenyewe ni njia ya kutufanya tuwe masikini tu, tunahangaika na demokrasia ktk bara masikini linalo hitaji kufanya kazi kwa bidii ili litoke kwenye umasikini ninyi mnatuambia kuna mdudu anaitwa demokrasia
Usimtaje Mbowe,Mbowe ni mtu mdogo sana katika Taifa hili.Tunaangalia Taifa sio individual kama MboweKila chama kipo huru ndio maana kule Chadema, Mbowe kapiga bilion 8 hakuna wa kumuuliza
Ili mradi umechangia: tu?Unataka demokrasia kama ile ya mababeberu mapolisi wanaoua watu hadharani?
Hatutaki demokrasia inayokuja na utamaduni wa Mabeberu, makonda amewekewa vikwazo Kwasababu aliwanyima mashoga ya Dar demokrasia kina Lissu wakaenda kumsemea.
Demokrasia yetu lazima izingatie utamaduni wetu
Kwn polisi wetu hawaui?? wa huku kwetu wakiua wanapandishwa na vyeo...au umesahauUnataka demokrasia kama ile ya mababeberu mapolisi wanaoua watu hadharani?
Hatutaki demokrasia inayokuja na utamaduni wa Mabeberu, makonda amewekewa vikwazo Kwasababu aliwanyima mashoga ya Dar demokrasia kina Lissu wakaenda kumsemea.
Demokrasia yetu lazima izingatie utamaduni wetu
Ni kweli kabisa uliyozungumza lakini nina maswali mawili,ni nani alitulazimisha tukubali siasa za vyama vingi?La pili ni wapi ambapo Maendeleo yalifanikiwa bila kuwa na demokrasia(Germany under Hitler-Miundombinu ya nguvu,uchumi mkubwa at last uka collapse na vita,Libya mpaka pesa ya kuolea unapewa na nyumba ya kuishi lakini bila demokrasia wameishia wapi,Urusi inameguka vipande vipande etc etc.)
Mpaka Burudi wametuzidi demokrasiaTangu baada ya uchaguzi wa 2015 ni ukweli usiofichika kuwa Demokrasia ya vyama vingi imepitia katika mtihani mkubwa.
Zuio la shughuli za kisiasa kwa vyama pinzani,hamahama ya waliochaguliwa toka upinzani kwenda kuunga mkono juhudi, kesi za hapa na pale, uondoaji wa viongozi wa kisiasa katika halmashauri au majiji yanayoongozwa na upinzani, ukosefu wa jukwaa huru kwa vyama vya upinzani kunadi sera zao na kadhalika.
Tuna miezi minne kabla ya uchaguzi na hakuna dalili za kuiboresha hali zaidi ya kuongeza hofu.
Wakati yote yanafanyika dunia imeelekeza taa yake kubwa kwetu (Makonda kuzuiwa kuingia USA) na mengine.
Tujitafakari na njia tunayochukua. Je, itakuwa na tija kwa Taifa letu?
Hakika umenena mkuu...Tatizo kubwa LA viongozi Wa nchi yetu Ni kukosa uzalendo Wa dhati kabisa toka moyoni.Dhambi kubwa wanayoifanya Ni kupuuza maagano ya taifa ikiwemo katiba ya taifa letu.viongozi Wa mihimili mikuu ya dola wameonyesha mfano mbaya Wa kuilinda Na kuitii katiba ya nchi yetu.Sio rais, spika wala jaji Mkuu, wote hao wamevunja katiba Na sheria ya nchi yetu kwa nyakati tofauti.Wasio Na hatia wamehukumiwa, wenye hatia wamesamehewa.Kangi lugola pamoja Na tuhuma zote za uhujumu uchumi yuko mtaani anakula bata, huku mdude nyagali na wengineo wamebambikiziwa kesi kisa tu kutofautiana mtazamo Na watawala. Mbaya zaidi vyombo vyetu vya dola vimegeuzwa vyombo vya kisiasa vya kutumiwa Na wanasiasa.Hakuna kitu kizuri kwa viongozi kama kujali haki za wenzako hata kama hawakuungi mkono.Huo ndo uzalendo Wa kweli.
Tangu baada ya uchaguzi wa 2015 ni ukweli usiofichika kuwa Demokrasia ya vyama vingi imepitia katika mtihani mkubwa.
Zuio la shughuli za kisiasa kwa vyama pinzani,hamahama ya waliochaguliwa toka upinzani kwenda kuunga mkono juhudi, kesi za hapa na pale, uondoaji wa viongozi wa kisiasa katika halmashauri au majiji yanayoongozwa na upinzani, ukosefu wa jukwaa huru kwa vyama vya upinzani kunadi sera zao na kadhalika.
Tuna miezi minne kabla ya uchaguzi na hakuna dalili za kuiboresha hali zaidi ya kuongeza hofu.
Wakati yote yanafanyika dunia imeelekeza taa yake kubwa kwetu (Makonda kuzuiwa kuingia USA) na mengine.
Tujitafakari na njia tunayochukua. Je, itakuwa na tija kwa Taifa letu?
Mkuu ingekuwa vivo tusingeona vyombo vya dola vikihangaika kufanya kazi ya ccm badala ya nchi, muda wote mnahangaika kubambikia kesi wakosoaji Wa serikali mkitumia mahakimu wenu kina simba.Kila chama kipo huru ndio maana kule Chadema, Mbowe kapiga bilion 8 hakuna wa kumuuliza
Mkuu ingekuwa vivo tusingeona vyombo vya dola vikihangaika kufanya kazi ya ccm badala ya nchi, muda wote mnahangaika kubambikia kesi wakosoaji Wa serikali mkitumia mahakimu wenu kina simba.