Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Ninapoandika kuna watu wasio na hatia wameuawa nchini Uganda eti kisa ni kubadili dini toka uislam kwenda ukristo.
Hii ni kutokana na maagizo ya Mohamed kuwa atakayeretadi auawe.
Kwanini watu wanaopingia kwenye uislam hawaambiwi hili na kwanini iwe haki kuingia lakini siyo kutoka?
Nchini Nigeria magaidi wanaua kila siku kwa sababu wanataka kuingia peponi na kupewa wanawake lukuki. Je maisha ni ngono?
Huko Palestina maelfu wameishauwa kisa? Eti Mungu wa ibrahim alitoa ardhi ya watu kwa wavamizi.
Haki iko wapi? Hizi dini mbili ni dini au vikundi vya kigaidi vilivyohalalishwa?
Inakuwaje Allah na Jehova wanatumia vitisho vya moto na vifo kama kweli ni miungu? Hapa Waswahili tujifunze kuwa hizi dini ni za kikatili na za kinyama zilizotuletea na kujenga chuki miongoni mwetu.
Nasi, kama mataahira, tumeziamini na kuanza kumalizana huku wao wakichekelea. Wanataka tumalizane wake wachukue ardhi na utajiri wetu.
Haiwezekani Mungu wa kweli akashabikia mauaii na ukatili vitisho, dhuluma, na ukoloni wa kimila.
Wamtupoka na kutupora majina yetu na kutupachika yao. Sisi kwao ni kama pets. Ukimfuga pet lazima umpe jina jipya ili iwe rahisi kumtambua akiwa na hayawani wenzake.
Tumetawaliwa, kiakili na kimila bila kujitambua kwa ahadi hewa za pepo. Kwanini wao waishi peponi hapa duniani halafu sisi tuahidiwe hiyo pepo baada ya kufa? Hata hao wanaotegemea kuingia peponi wapewe wanawake, maziwa na asali wanajidanganya na kudanganywa.
Kwanini tusifaidi vitu hivyo hapa duniani? Kwanini wanawake hawajaahidiwa wanaume wengi sawa na wanaume?
Je wasiopenda asali na maziwa nao wamewekwa kundi gani. Uongo uongo uongo mtupu.
Wasiopenda raha na vya dezo hapa hawana chao.
NAWASILISHA.