Dunia ingeamua kuwasaidia walemavu, watu hawa wasingekuwa na shida

We eleza yoooteee ila kuna mbunge kasema milioni kumi na mbili hazimtoshi(12,000,000/=).He needs all the world!The world is not enough for him!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona Kuna kambi zipo za wazee, (masikini) huku Moro kunahitwa fungagunga, Kuna kipindi walikuwa wanawafukuza vijana wanaokaa pale wawapishe wazee, na walemavu.
Na mtu yoyote akitaka kwenda kuwatembelea ruksa, zamani tulikuwa tunaendaga na kanisa fulani kupeleka misaada.
 
Ubarikiwe sanaπŸ™πŸ™πŸ™
 
Kiongozi unaonekana una roho mbaya kinoma yaani, nyie ndio mtoa post anawaongelea mpo radhi mtoe michango mikubwa ya harusi ukimwacha jirani yako akifa kwa njaa. Hakika sisi binadamu tumetofautiana mioyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…