Dunia ingejaa waafrika tungefikia hata theluthi ya hapa tulipo ?

Dunia ingejaa waafrika tungefikia hata theluthi ya hapa tulipo ?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
1. Mpaka leo kungekuwa hakuna vitabu wala maandiko, kila kitu ni kwa kuongea.

2. Mpaka leo kupaa angani ingeaminika ni kwa wachawi

3. Kutuma ujumbe wa mbali zingetumika yowe ama kumtuma kijana mwenye mbio asafiri

4. Vita zingeendelea kuwa za ana kwa ana, Mapanga, visu, mateke, ngumi
 
Back
Top Bottom