Dunia ipo Hatarini

Sasa taifa la Israel lilishapigwa laana na Mungu kwa kuua na kuadhibu mitume nq manabii wake. Ukiristo na Uislamu unasema wamepigwa laana itakayowatesa kizazi hadi kizazi.

Hiyo dola itasimama vipi?
Au miungu yenu inasema uongo?

Naum '' .....na laana iwe juu yetu na uzao wetu........''

 
Dunia haipo hatarini mkuu! Wewe ndio upo hatarini
 
Uzi absolute upo sawa na atakaebisha na abishe caz huwezikuwa msomi kama hujawahi kushinda maktaba.
 
Nimeandika post yenye maelezo ya kutosha kuhusu book of Enoch lakini imepotelea hewani mtandao unazingua.Naona uvivu kurudia tena.
Wale mnaoulizia hicho kitabu kasomeni vitu hivi vitatu;

1.Biblical canon(wikipedia)

2.Apocrypha and Pseudepigrapha(Home | Jewish Virtual Library)

3.Qumran scrolls

Ukristo una mambo meeengi,inahitaji dedication fulani kuyafukunyua,uyasome na kuyaelewa.
 
I
Ni habari ya kusisimua na inayonifanya nifunguke vizuri kwa kuunganisha dot. Kna ukweli Fulani HV hasa kwa wale tunaopenda kujisomea. Japo ukweli hasa una MUNGU mwenyewe. Ahsante kwa mchango wako mkuu.
 

We jamaa kuna mswahili alieandika biblia enzi za yesu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…