Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 344
- 926
DUNIA ITAKUWA MWALIMU WAKO WA MWISHO UKIGOMA KUELEWA BINADAMU WENZAKO, TENA ITAKUFUNZA KWA MAUMIVU NA VITENDO
Ukiambiwa utafunzwa na Dunia jua tayari wamekuona wewe ni mbishi zaidi ya kawaida sasa kama wazoefu wanaamua tu wakuache ili uje ufunzwe na MAAMUZI yako.
Ni kweli kabisa Dunia ni mwalimu mzuri sana japo mafunzo yake huwa yana maumivu makali na huwa ni mafunzo kwa vitendo, Ikifika wakati wa kufunzwa na Dunia huwa huruma haipo bali lengo kuu ni uelewe tu kwa namna yoyote ile.
Kufunzwa na Dunia ni kufunzwa kupitia maamuzi yako ambayo ulionywa ila ukaona kama wanakuonea wivu ukajipa UPOFU.
Sio kila binaadamu ni mwalimu mzuri ila kati yao kuna ambao wana uzoefu hivyo wakikupenda watakwambia tu ukweli kuwa hizo njia sio sahihi sasa itabaki kwako ama kuwaelewa au kujipa UPOFU.
Mafunzo kwa vitendo utaelewa sana ila kuna mawili pia yawezekana ukawa kwenye hatua ambayo hata utajifunza ndio ila tayari utakuwa UMEPOTEZA KISICHOREKEBISHIKA
UKiambiwa changanya na zako ila usipuuze kila ushauri wenye mlengo chanya, fanyia kazi kujua ukweli.
USIWE MBISHI NA MJUAJI KUPITILIZA , DUNIA NI MWALIMU MZURI ILA DARASA LAKE NI LENYE MAUMIVU.
#Mwanasayansi Saul kalivubha
#fikia Ndoto Zako.