JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Wiki hii nilitaka kutokufanya lolote, nikasema nijikumbushe enzi za nyuma kidogo, Kipindi cha ujana ambacho niliweza kukaa ndani nikatazama movies siku nzima.
Basi nikatoka nje ya mji niliopo, nikakodisha hoteli nikapewa movies niangalie wiki nzima.
Japo sikuwa na nguvu ya kutazama movies kama zamani ila nilichokiona ni kuwa tofauti na miaka ya nyuma wakati kina Rambo wanawika, sasa hivi kuna nguvu kubwa sana inatumika kujaribu kuonyesha kuwa ushoga ni jambo la kawaida.
Nyakati hizi kunahitajika umakini sana na vitu mnavyoruhusu watoto wanaobalehe kutazama.
Kaka mtu mlinde mdogo wako, mama mlinde mwanao, baba kuwa makini na dume lako.
Vijana wanahitaji uangalizi wa karibu wasipotee wakidhani ni kawaida kama wanavyoona kwenye video.