Dunia mbona inaenda haraka sana, Marekani hakupoi! Kasema ufisadi wa kutisha Serikali Kuu na Taasisi

Dunia mbona inaenda haraka sana, Marekani hakupoi! Kasema ufisadi wa kutisha Serikali Kuu na Taasisi

Ndebile

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
7,745
Reaction score
11,267
Nyaraka za Siri kuhusu kifo cha aliyekuwa Rais wa Marekani JF Kennedy aliyeuawa kwa kupigwa risasi, shambulio la Osama bin Raden maarufu kama 9/11, Wapi hasa COVID-19 ilitoka zote kuweka wazi.

Elon na DOGE nao hawapoi kasema amegundua ufisadi WA kutisha serikali Kuu na Wizara zake

"Wazungu sio mafisadi,..." pumbavu zako!
Screenshot_2025-02-11-23-34-36-427_com.twitter.android.jpg
Screenshot_2025-02-11-23-33-34-130_com.twitter.android.jpg
 
Mods nisaidie kurekebisha heading
 
Alafu utasikia chama flani wanasema hatutaki siasa za matusi...., kweli? Waliotufindisha siasa mbona matusi Nje nje?

"We have to f*ck Trump" - Rep. Maxine Dexter (D-OR)
 
Ndio maana Kuna huduma na maeneo YUES Bora hapa tz kwa Samia
Maji na huduma za afya huwezi amini kama ndio sehemu watu wanaendesha hizo Tesla
 
Wazungu Kwa hesabu za haraka, wametushinda kwa Ufisadi

Trump kamatia hapo hapo ukomeshe mafisadi Marekani
=====
Bazungu bya tandale banasemaje?
 
Nina rafiki yangu. Aliwahi kunieleza yote haya vile USA kwa public services zilivyombovu na zinavyohujumiwa miaka 5 uliopita.

Ni vile tu wengi taarifa hatuna...nimechoka
Tano tu? acha bana, unatania?
 
Nyaraka za Siri kuhusu kifo cha aliyekuwa Rais wa Marekani JF Kennedy aliyeuawa kwa kupigwa risasi, shambulio la Osama bin Raden maarufu kama 9/11, Wapi hasa COVID-19 ilitoka zote kuweka wazi.

Elon na DOGE nao hawapoi kasema amegundua ufisadi WA kutisha serikali Kuu na Wizara zake

"Wazungu sio mafisadi,..." pumbavu zako!
View attachment 3233808View attachment 3233809
Marekani wamechagua raisi kichaa anaacha yupo busy kulipiza kisasi baada ya kuangalia maendeleo ya marekani
 
Marekani wamechagua raisi kichaa anaacha yupo busy kulipiza kisasi baada ya kuangalia maendeleo ya marekani
Kweli kabisa.
Anayo yafanya(excutive orders)yanafunika the real things,anafanya. He is flooding all the senses mnabaki kuchanganyikiwa ni kipi cha kushika na kupambana nacho. Very smart though.
 
Mwaka huu Dunia inakwenda kumpoteza mtu maarufu sana

Nilivyooteshwa ni either anatiliwa sumu au anapigwa risasi
 
Back
Top Bottom