Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Kivipi mkuu
Wanachukua picha halisi ya kitu ama ya mahali kisha wanaichomekea taswira ya mtu na kuifanya iko faded na kufuta boda zoteKivipi mkuu
Ahueni kijana wa Rage umetutoa matongotongo.Wanachukua picha halisi ya kitu ama ya mahali kisha wanaichomekea taswira ya mtu na kuifanya iko faded na kufuta boda zote
Sent using Jamii Forums mobile app
kijana wa Rage[emoji1787][emoji23]Ahueni kijana wa Rage umetutoa matongotongo.