Dunia ni kigeugeu. Tuishi kimachale machale tu

Dunia ni kigeugeu. Tuishi kimachale machale tu

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
Maskini wanajifanya wanazo, Matajiri wanazuga wanajifanya hawana. Wenye kazi wanapost upuuzi wanajiita majobless, Majobless sasaaaa🤣🤣wanajifanya wako serious na maisha.

Wajinga wanajifanya wanaakili na wenye akili wametulia hawataki hata kujieleza,.

Mashetani sasaaa😂😂 wao ndo wanajifanya wameshika dini kutwaa status kutupostia Mambo ya dini wakati tunajua Wana pretend 🤣🤣maisha bhana🏃.
 
kuna mitazamo miwili kuhusu wenye pesa kujifanya maskini;

1. wananyooshewa sana vidole/kusemwa sana kwahiyo inabidi wajishushe

2. wanatafuta umashuhuri(sifa) kwa kuonekana wanyenyekevu

kuhusu wajinga na wenye akili inasemekana wajinga hujiona wana akili na wenye akili hujiona wajinga(inasemekana)
 
Mambo ni mengi sana mkuu
IMG_20231102_232734.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mdada sijaelewa una maanisha nn kwa lugha ya kizimkazi
Watu ambao wana feki maisha wanaumiza watu ambao hawa wajuwi,

Mfano, mtu ana jitapa anagari kumbe hana ila kuna mtu anaumia kutamani maisha ya mtu ambae kumbe nae ana feki.

Ndio maana ni kasema without pain no game, ile chachu ya kutamani kuwa kama Fulani INA mfanya mtu kupambana kwa bidii kiufupi ni hivyo tu.

Nimekupata sasa
 
Back
Top Bottom