The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
nimekuwa nafuatilia mada za humu jf zinazohusu
hawa watu wanaojiita ma atheists na wengine kuhusu kuwepo au
kutokuwepo kwa mungu....
juzi tena kwenye cnn nimeona mtu mmoja
anaitwa Richard dawson akihojiwa kuhusu hiyo
theory ya kutokuwepo kwa mungu.....
kitu kimoja ambacho nimekuja kukigundua ni kuwa
iwapo kila mtu ataaamini hakuna mungu,hii dunia itakuwa
na vurugu mno.
msingi mkubwa wa dunia hii kama ilivyo unatokana
na kuamini mambo mengi ambayo msingi wake ni dini
na mungu kwa ujumla..
mfano masuala ya morals na ethics yote msingi wake
uko kwenye dini na mungu...
kwa kuamini kuna dhambi na mungu hapendi
ndio inayotufanya binadamu tuwe na limitations
kwenye matendo yetu hasa yale maovu.
sasa imagine leo unaamka na dunia nzima
watu wamekuwa convinced hakuna MUNGU..
kwa maana hiyo hakuna dhambi kwa lolote
unalofanya......
i find peace when i believe there is god...
not believing there is god,is like not believing there is justice after all.
hata kama hawa evolutinary scientist watakuwa
na evidence za kutosha ku prove there is no god...
i dont want to believe that...
i want to believe there is god hata kama it is true that
god does not exist.....
kwa mtu kuweza kuni convince kuwa hakuna
mungu....kwangu ni suala kubwa sana...
by not believing there is god,i will be a completely different person..
na naamini hata hii dunia itakuwa a complete new world..
if kila mtu ataamini hakuna mungu...
itakuwa vurugu kubwa sana.
the idea that there is no god is so scary and it does not make sense.
i hope all atheists are wrong.