Dunia simama nishuke; Kijana na Mama yake wanagombania bwana jama!

Sidhan kama ni kweli,mama na mtoto ambae analiwa kiboga kugombea bwana mmoja huyo ni mama wa aina wa gani ?
Chai kabisa hii. Kingine cha kujiuliza huyo mtoto alijuaje kuwa mama yake anaingiliwa kinyuma? Aliwachungulia?
 
urudi mku... wapi?? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
sishangai kwasababu umesema niUswahilini, nijambo lakawaida sana
 
Nimecheka khaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata huyo mama na 'binti yake' nao ni wahamiaji hapa Dar, kwa asili ni wenyeji wa Mkundubaro. Tafadhali unapotoka, toka nao.
 
Nilitaka nichangie Ila kila nikiangalia profile yako macho yananiuma unaweza kuiondoa halafu tuendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…