Dunia tulio nayo imepitia vipindi vigumu kama magonjwa mawili makubwa EBOLA VS COVID 19

Dunia tulio nayo imepitia vipindi vigumu kama magonjwa mawili makubwa EBOLA VS COVID 19

Raia mpya

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2022
Posts
673
Reaction score
1,915
Dunia tulio nayo imepitia vipindi vigumu na majanga mbalimbali tokea enzi za vita ya dunia huko na mpaka tulipofika, ila kwa miaka ya karibuni kuna magonjwa mawili makubwa yalitikisa ulimwengu CORONA huu sina hata haja ya kuelezea habari zake mpaka leo zipo maana hata ukitaka kusafiri nje lazima uchanje, na kuna Ebola huu ulikuwa ungojwa ulitikisa sana Africa magharibi.

Sasa kwa wataalamu wa mambo nawauliza lipi lilikuwa gonjwa hatari kati ya hayo mawili Kwa upande wangu ebola ilikuwa konki maana unakufa kifo kibayatena chap kwa haraka
Karibuni.
 
Back
Top Bottom