Dunia ya giza nyuma ya kuta za mochwari

Hivi hakuna tofauti kwa wenye dhambi na wale watakatifu kwenye hayo masaa 48 ya mwanzo?
 
Shukrani kwa elimu, nimekuelewa vyema ! ... Hiyo fomalin [sijui kama nimepatia spellings] nasikia hutumika sana mabuchani ..haya Haya ya kisasa yanayovutia ya nyama na samaki ... husaidia kuuwa wadudu warukao na Watembeao mfano nzi , pia kuna kijiharufu kama cha madawa unaweza kukisikia japo si mara zote n.k .... kuna ukweli ?
Ukienda kwenye haya mabucha ni pasafi panavutia hakuna nzi hata mmoja.... kuna nadharia kuwa ukienda butchan ukikosa nzi hata mmoja huenda wanatumia haya madawa ya kutunzia miili, usinunue hapo nyama ama samaki , kuku n.k ! Ama ni nadharia zetu za kichafu chafu tu tushazoea nzi ?



Mshana Jr
 
ila nyie, ndo kisimi cha kichanga? duh makubwa, sasa hii tuite ni dhambi au ni tiba,, yani katoto kamekufa bado wanaenda kukakata kisimi😪
Na usichokijua masharti yake ni kukila km mboga yaan km anakula utumbo wa ng'ombe, shangaa na hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…