Lee Swagger
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 1,063
- 1,815
Aiseee....Nonsense.
Mshtue Lemutuz aje, maana uwa anajisifiaga ye ni akili kubwazHapa inahitaji akili kubwa kubaini ujumbe uliofichwa Kwenye hizi picha..Kuna baadhi zinaeleweka..
Sanaa zinabeba ujumbe mzito sanaaPicha nzuri na ujumbe ndani yake
Dunia tambara bovu.....Aise zinafilirisha mno. chache nimepata maudhui yake
Zinahitaji Akili Kubwaz.Aise zinafilirisha mno. chache nimepata maudhui yake