Dunia ya Sasa ni rahisi mno kupata hela Kuliko kupata ajira rasmi. Vijana wengi wana pesa ila hawana Ajira rasmi

Dunia ya Sasa ni rahisi mno kupata hela Kuliko kupata ajira rasmi. Vijana wengi wana pesa ila hawana Ajira rasmi

Vijana wangapi wanaingiza vipato vya 1 million mpaka 2mil kwa mwezi

Kwa Dar wapo wengi sana.

Mfano tazama

1. Vijana ma Mc wa harusi wapo vijana kibao wanaoingiza hiyo hela kwa mwezi.

2. Tazama vijana mafundi boda boda wapo kibao wanaoingiza hiyo hela kwa mwezi.

3. Tazama vijana content creator kama kina kiredio wapo kibao wanaingiza hiyo hela kwa mwezi

4. Tazama wauza mishkaki kariakoo

5. Muuza matunda na mkokoten kariakoo

Hayo ni makundi machache kati ya mengi ambayo sijayataja
 
Kwa Dar wapo wengi sana.

Mfano tazama

1. Vijana ma Mc wa harusi wapo vijana kibao wanaoingiza hiyo hela kwa mwezi.

2. Tazama vijana mafundi boda boda wapo kibao wanaoingiza hiyo hela kwa mwezi.

3. Tazama vijana content creator kama kina kiredio wapo kibao wanaingiza hiyo hela kwa mwezi

4. Tazama wauza mishkaki na kariakoo

5. Muuza matunda na mkokoten kariakoo

Hayo ni makundi machache kati ya mengi ambayo sijayataja
Tungekuwa na matajiri wengi sana hapa bongo siku zinavyozidi kwenda naona kundi kubwa la vijana kuingia kwenye betting
 
Inawezekana ukapata hela kwa urahisi lakini kama huna base ni rahisi kukutoka vilevile, ndiyo sababu ni vizuri kuwa na ajira au shughuli rasmi kwa ajili ya uhakika wa hela.
 
Unless wewe ni ombaomba kwa wazazi wako, basi kama unaingiza pesa, jua unayo ajira rasmi tayari so as long as sio uhalifu unafanya.
 
Uchunguzi wangu binafsi nimegundua dunia ya Sasa ni rahisi mno kupata hela Kuliko kupata ajira rasmi.

Hapa Tanzania watu wengi wanaPata pesa sana ila hawana ajira rasmi.
Kutengeneza pesa ni rahisi sana ila kutengeneza sustainable income ni swala lingine
 
Back
Top Bottom