Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Siku haipiti bila kuisema MANUTD..UKOME.Modric huyu kijana wa Kicrotia Fundi sana sijui anatumia Petrol jinsi unavyomkuta kila kona ya uwanja na zile pasi zake za outer kwa kifupi anajua kusakata kabumbu.
Sitasahau goli alimfunga De Gea UEFA champions league pale OT
fafanua kidogo chiefHadi leo hii naamini kwamba Modric alifanya kosa kubwa sana kuihama Totenham
Umaarufu wake ulipungua alipohama...pale Totenham alikuwa mchezaji wakutegemewa zaidi na alipewa heshimakubwa zaidi ya huku alipo sasa.fafanua kidogo chief
kila mchezaji ana malengo yake kama kupata vikombe na pesa sasa huoni kama hapo Madrid kapata vikombe vya Uefa 2, Super cup 1 wakati tot huko hata Epl tu wanashindwa kuchukuaUmaarufu wake ulipungua alipohama...pale Totenham alikuwa mchezaji wakutegemewa zaidi na alipewa heshimakubwa zaidi ya huku alipo sasa.
Una hisa nini pale Man utd?apo utakua umeniingilia uhuru wangu wa kuongea/kusema chochote la msingi sivunji sheria.Siku haipiti bila kuisema MANUTD..UKOME.
Anyway nashangaa sn wanavomu under rate Luka....Kwangu mm ni mmoja kati ya viungo bora wa wkt huu
Tatizo kubwa la Totenham ni kuuza wachezaji wao nyota...Modric na Bale walitosha kabisa kuwapa ubingwa endapo wangesalia kikosini.kila mchezaji ana malengo yake kama kupata vikombe na pesa sasa huoni kama hapo Madrid kapata vikombe vya Uefa 2, Super cup 1 wakati tot huko hata Epl tu wanashindwa kuchukua
Umaarufu wake ulipungua alipohama...pale Totenham alikuwa mchezaji wakutegemewa zaidi na alipewa heshimakubwa zaidi ya huku alipo sasa.
Ha ha haModric huyu kijana wa Kicrotia Fundi sana sijui anatumia Petrol jinsi unavyomkuta kila kona ya uwanja na zile pasi zake za outer kwa kifupi anajua kusakata kabumbu.
Sitasahau goli alimfunga De Gea UEFA champions league pale OT
Yaani aendelee kucheza Toti aikatalie Madrid?Hadi leo hii naamini kwamba Modric alifanya kosa kubwa sana kuihama Totenham