Dunia yetu ina vitu vingi mno. Je, wajua namba au alphabet huwa na frequence fulani

Mkuu hujaongea kitu chochote hapo zaidi ya kumung’unya maneno.
SHOW!
Numbers and event
Numbers and the past
Numbers and the future
Numbers and situations
Jua kwamba humu si wote vilaza!
 
Mkuu hujaongea kitu chochote hapo zaidi ya kumung’unya maneno.
SHOW!
Numbers and event
Numbers and the past
Numbers and the future
Numbers and situations
Jua kwamba humu si wote vilaza!
ulichonipa sasa ni nukishi za ufundishaji nashukuru sana that was intro nakuja mazima
 
Duniani kuna maarifa/knowledge za kila namna, sasa niambie ukishaweka muda wako kwa ajili ya hayo then yanakusaidia nini? Nasema hivo kwakua niliwahi tumia muda mwiiiingi sana kusoma macosnsipirasi mengi na baadhi ya vitu vilivyofanywa na Better man wwnye maakili yao. Nina knowledge ndio ya hayo then naenda kuapply wapi hiyo knowledge ili nipate hata mia???

Ushauri wangu kuna Skills/ujuzi stadi wa aina mbaliimbali humu ulimwenguni tungewekeza huko kujua mengi na kutufanya kua vijana wenye tija katika jamii na kutegemeka. Ukitumia dakika kumi kuangalia video ya hayo manamba Youtube wakati unaweza kuzitumia kujifunza jinsi ya kutengeneza kitu fulani kinachokusumbua ambacho mafundi hukulia hela.
Mtazamo tu
Kama kuna kitu anafanya juu ya hivi vitu kupata mkate wa kila siku ni vyema pia.

Ila kuongeza maarifa si kujisumbua.

Vitu vyote ni vya kwetu sisi binadamu kuvisoma kuvifahamu na si viingilie taratibu zetu za maisha
 
Huu ni ufundi wa maneno tu kochosha watu akili hamna jambo hapo kama ulikuwa na chakutufunza kuhusu hizo namba huu ungekuwa ni utangulizi tu

Ungeelekeza watu kwa mifano ya kuunganisha hizo namba na tuone matokeo ili na sisi tuelelewe na tuone hayo maajabu
Hii ni yakufikirika
 
#Da vinci niliyasoma haya kama hobby tu kwa kina kama tu jinsi unavyokwenda kuangaliaga mpira wa simba na yanga lakini main objective yangu ni kujua nawezaje kusolve matatizo yangu binafsi kwa elimu hii hakika yapo mambo marahisi kabisa ya kiasli you can solve mwenyewe na ukaona change za ajabu ukashangaa amini amini ndio lengo langu to teaches other by using number NA ENDAPO UNASOMA TU BILA KUJUA LENGO LAKO UNATAFUTA NINI YOU SHOULD BE A BOGUS
 
Mimi naamini kuwa dunia ina kanuni za siri ambazo wenzetu pengine wanazitumia kufanya maajabu haya duniani.

Naendelea kufanya tafiti zangu miaka ya mbele na mimi nitakuja kufanya uvumbuzi wa mambo yangu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hamna kitu kwa mtoa mada.
 
Kila namba au herufi uionayo huwa haipo kiasara hasara vile udhaniavyo kwani kila namba au herufi huwa na frequence yake pamoja na spirit jinn wake ambao kitaalamu huitwa khadfoo hawa spirit _jinn hufuata maelekezo na hesabu kutegemeana na dhamira ya mtakaji apendavyo au atakavyo hivyo maandishi huandikwa namba za uzani hupigiwa mahesabu mf A =1 MPAKA I=9, J=10 mpaka t=90 U=100,Hivyo baada ya mizania hii kupangwa kwa hesabu maalumu huku ukibalansi namba za shari au za wema mf M au X ni namba za kifo kabisa zitakapoandikwa kwa idadi fulani katika picha fulani na kwa maandishi fulani basi khadfoo huja hapo mara moja na kusoma maelekezo na kuanza utendaji mara moja MAIN LOGIC NI KUWA HAYA MAANDISHI YA KAWAIDA BY NATURE YANAYO NGUVU FULANI ISIPOKUWA HUITAJI VIUNGO KIDOGO KUTENDA JAMBO FULANI sorry mimi si muandishi mzuri kabisa nataka kueleza jambo lakini nashindwa
 
Hamna lolote!
 
SECRET GIFT
#PREPARE YOUR SELF A COMMANDING RING<

siku ya jumanne nenda makaburini uwe na ring ya silva na chumvi ya mawe ukifika vua nguo zako saa sita usiku pia iwe ni jumanne ambayo imeangukia mwezi mkubwa yaani mwezi unaonekana wote chimba kashimo karibu na kaburi nyunyuza chumvi hapo chukua pete yako ifunge kwenye kitambaa cheupe kipya iweke humo wakati unaweka humo zungumza maneno hayo hapo juu WILGADIIM AGIOUS TETRAGRAMMATON HIGATH PISTAN fukia subiri siku 27 au 28 mpakapale mwezi utakapokuwa mkubwa tena kwa muonekano nenda vua nguo itoe vaa nguo ondoka bila kutazama nyuma hapa unakuwa na comanding ring iamrishe kuhusu mambo yako ya kifedha
 
SECRET GIFT
#PREPARE YOUR SELF A COMMANDING RING<

siku ya jumanne nenda makaburini uwe na ring ya silva na chumvi ya mawe ukifika vua nguo zako saa sita usiku pia iwe ni jumanne ambayo imeangukia mwezi mkubwa yaani mwezi unaonekana wote chimba kashimo karibu na kaburi nyunyuza chumvi hapo chukua pete yako ifunge kwenye kitambaa cheupe kipya iweke humo wakati unaweka humo zungumza maneno hayo hapo juu WILGADIIM AGIOUS TETRAGRAMMATON HIGATH PISTAN fukia subiri siku 27 au 28 mpakapale mwezi utakapokuwa mkubwa tena kwa muonekano nenda vua nguo itoe vaa nguo ondoka bila kutazama nyuma hapa unakuwa na comanding ring iamrishe kuhusu mambo yako ya kifedha
 
Tafuta helaaa
 
Had you ever test it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…