SUNGULULU
New Member
- Mar 17, 2014
- 2
- 6
MADHARA YA NYAMA DUNIANI
Nyama unayokula huchafua/haribu na kudhuru kwa kiwango cha juu ambacho hakikufahamika katika historia ya mwanadamu.
Katika mwaka 1906, Upton Sinclair aliandika: Hii si hadithi ya uongo/danganya toto au jambo la mzaha, nyama inayopakuliwa/tengwa kwa ajili ya chakula ndani ya migahawa, na mtu apakuwae, hawezi kujisumbua mwenyewe kwa kumwondoa panya hata kama amemwona ndani. Kuna vitu ambavyo huwekwa ndani ya mchanganyiko wa soseji ambapo ni zaidi ya sumu ya panya. (Upton Sinclair, The Jungle, ukurasa wa 135)
Sinclair alielezea mambo kuhusu nyama. Rais Theodore Roosevelt alikisoma kitabu hiki, The Jungle, na mara moja akaagiza tume huru ya uchunguzi ya U.S. kuchunguza viwanda vya kuchinjia yaani (MACHINJIO)