Duniani hauwezi kupendwa na kila mtu

Duniani hauwezi kupendwa na kila mtu

Joined
Jul 6, 2024
Posts
97
Reaction score
72
Itoshe tu kusema katika Dunia hauwezi kupendwa na kila mtu. Mtume alipigwa na kung'olewa jino. Yesu alitundikwa msalabani na akapigwa bila kosa. Na Mitume yote ilikuwa unapigania haki.

Vizazi vya watu waliotesa Mitume tunavyo na kunaishi Pamoja navyo. Ni wazi hata Mimi siwezi kupendwa na kila mtu. Wanaonisemesha inbox ni wengi kuliko walio hadharani.

Hapa unagundua ipo haha ya kuwajengea kujiamini watu walioumizwa kwa Vitisho na Uzao ule usikiao haki na kuchukia. Tusimame njia iliyo sahihi bila kujali Wala kuhofu kejeli za watu wabaya waichukiao harufu ya haki.

Nikutakie siku njema
 
Back
Top Bottom