ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Ushindwe wewe tu Ila kila aina ya mwanamke unayeweza kumuwaza ukiamua unamtaka hili suala lipo under your control kabisa huwezi kufeli.usiyumbe Wala kuwaza kuhusu mwanamke kwa sababu wewe ndiwe kinara wao wewe Hakuna kingine kinachokushinda.ukitaka mwanamke wa shepu fulani na tabia fulani unampata tu ukiamua kuzingatia lazima utamuona tu huyoo anapita barabarani.