MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Unalinganisha maandamano ya kudai Lissu (ambaye yupo katikati ya kesi ya uhaini) aachiwe huru na maandamano ya kumpokea airport baada ya kutoka kwenye matibabu?..mapokezi ya Lissu, na maandamano ya Ngorongoro, ndio maandamano makubwa yaliyofanyika katika awamu ya 5, na awamu ya 6. Hoja yangu ni kwamba maandamano Tanzania yanawezekana.
Unalinganisha maandamano ya kudai Lissu (ambaye yupo katikati ya kesi ya uhaini) aachiwe huru na maandamano ya kumpokea airport baada ya kutoka kwenye matibabu?
Bado uzito wa matukio haufanani kabisa. Nashangaa sana ninapoona watu wanachukulia tukio la kutaka kuiangusha CCM kama jambo jepesi au lisilo na uzito mkubwa. Kuiondoa CCM kuna "major geo-political implications" achilia mbali implications za ndani ya nchi. CCM haiwezi kuondoka hivi aisee...maandamano ya kumpokea Lissu yalipigwa marufuku na Polisi. Pamoja na katazo la Polisi, wananchi walijitokeza kwa wingi, na kutoka kila sehemu, kuelekea uwanja wa ndege, hivyo Polisi wakalazimika kughairi kuyasambaratisha.
..kitu ambacho naamini kilikuwa ni msaada kwa waandamanaji ni kwamba Polisi walipigwa ganzi kuhusu namna ya kutofautisha nani alikuwa anakwenda uwanja wa ndege kumpokea Lissu, na nani alikuwa anakwenda kwa malengo mengine.
..somo nililotaka watu wajifunze ni kwamba ni muhimu kuchagua eneo la kimkakati litakalopelekea ugumu kwa Polisi kusambaratisha maandamano.
..Pia eneo wanapoandamana au kukusanyika ni lazima liwe eneo ambalo litawalazimu watawala na Polisi kuwa wapole.
..Wamaasai walichagua gate la kuingia Ngorongoro na serikali wangejifanya kiburi wangeingia hasara kubwa.
Nami kabla sijapoteza muda kusoma hayo yaliyo huko chini, nilitegemea kuona mapendekezo yako jinsi/namna ya kuyakomesha haya tusiyo yapenda wewe na mimi.Baada ya kusema hayo, naomba niendelee na mada yangu ya leo.
Niseme tu kwa ufupi kwa sasa hivi: hii mifano miwili, pamoja na kuwa kielelezo kizuri; lakini haifikii katika huu tunaoelekea kuufanya kama taifa; hapo Oktoba 29 au hata kabla na baada ya tarehe hiyo...maandamano kama ya Wamaasai wa Ngorongoro?
..au maandamano ya mapokezi ya Tundu Lissu alivyorejea mara ya kwanza toka kwenye matibabu?
Samia aombe sana kwa mizimu yake; kwani hii nchi yenye raia milioni zaidi ya sitini; wakijitokeza milioni tano tu kati ya hao, nchi nzima; anafunga vilago.Shida hata si kupanga. Ni utayari wa watu. Wakitoka watu laki wasimamishe jiji hata kama walipanga mwaka mzima serikali itafanya nini?
Shida ni utayari wa watu kujitokeza kwa wingi.
Hakuna njia yoyote serikali inaweza kujiami kuwazuia Watu wakitoka kwa maelfu ya maelfu. Wataomba poo wenyewe.
Kama hiyo njia ingekuwepo basi mikutano ya CCM isingejaa matamko kuhusu kuandamana, wala jeshi lisingekuwa lina angaika kuwatisha watu. Pona yao na maombi yao ni kuwa watoke wachache, kukosekane muitikio. Vinginevyo haichukui hata masaa matano Samia atakimbia na Helkopta kuelekea Oman.
HAIPO SERIKALI YA KUSHINDANA NA SAUTI YA UMMA. HAIPO!
Sasa ilinilazimu kusoma hadi mwisho wa mada yako. Sasa nakuuliza wewe unajuaje wewe kuwa safari hii waTanzania hawataamua "kusimama wenyewe bila kutegemeana au kutegemea viongozi au watu fulani wawaongozze"Hawa waTanzania umewashikilia mifukoni mwako?Narudia jambo ambalo nimelisema mara kwa mara. Watanzania bila kuamua kusimama wenyewe bila kutegeana au kutegemea viongozi au watu fulani wawaongoze (au sasa hivi mmeingizwa chaka la eti jeshi lipo tayari kuwasaidia), hamtaiondoa CCM kamwe.
Natamani tuanze ya tarehe hiyo Kwa kushitukizaKabla haujasoma ninachotaka kusema, embu tuelewane kidogo. Sijawahi kuisifia wala kuitetea CCM na serikali zake. Siungi mkono vitendo vyovyote vya unyanyasaji, utekaji, mauaji na uminywaji wa haki na uhuru wa raia wa Tanzania. Baada ya kusema hayo, naomba niendelee na mada yangu ya leo.
Hauwezi kutangaza takribani miezi miwili kabla kuwa unaenda kufanya maandamano ambayo nia yake ni kuiondoa serikali halafu uende kufanikiwa. Hivi mnadhani miezi hii yote hao CCM na serikali yake wamekaa tu wanawasubiri nyie hiyo October 29 muende kuwaondoa?
Maandamano ya kweli, yenye nguvu na yanayofanikiwa huwa yanaibuka tu "organically" na yanachochewa na hasira na hisia kali kutokana na matendo maovu ya wakati husika siyo haya ya kutangaza miezi miwili kabla.
Kwa Tanzania yametokea matendo mangapi ambayo yangeweza kuibua maandamano lakini kimya kikatanda mitaani hadi watu wakapoa? Watu wamebaki kugugumia na kunong'onezana tu ila hakuna action. Nguvu hiyo ya kuwavuta hao watu waingie road itatoka wapi wakati mmewapa watesi wenu muda wa kujiandaa na kujizatiti na wakati huo huo hisia za watu kupungua?
Kuna jambo nililisema kuhusu Polepole, Mpina na Mange wiki kadhaa nyuma katika post yangu ya mwisho na nasimama na maneno yangu maana baada ya nilichoandika ndiyo siku kadhaa nikasikia "ametekwa". Nasimama na kauli yangu ya awali.
Narudia jambo ambalo nimelisema mara kwa mara. Watanzania bila kuamua kusimama wenyewe bila kutegeana au kutegemea viongozi au watu fulani wawaongoze (au sasa hivi mmeingizwa chaka la eti jeshi lipo tayari kuwasaidia), hamtaiondoa CCM kamwe.
Tunalaumu Bure! Tatizo ni kuwa hatuna chama ambacho tunaamini pasipo na shaka kuwa kikikabidhiwa nchi hakitakuwa mirror ya CCM. Ni akili kubwa kutofanya kitu ambacho hakina manufaa. Angalia kama Madagascar jamaa aliingia baada ya maamdamano, wengi walitegemea atawakomboa. Kuingia tu ni galegale na sasa wamemuondoa kwa maamdamano.Kabla haujasoma ninachotaka kusema, embu tuelewane kidogo. Sijawahi kuisifia wala kuitetea CCM na serikali zake. Siungi mkono vitendo vyovyote vya unyanyasaji, utekaji, mauaji na uminywaji wa haki na uhuru wa raia wa Tanzania. Baada ya kusema hayo, naomba niendelee na mada yangu ya leo.
Hauwezi kutangaza takribani miezi miwili kabla kuwa unaenda kufanya maandamano ambayo nia yake ni kuiondoa serikali halafu uende kufanikiwa. Hivi mnadhani miezi hii yote hao CCM na serikali yake wamekaa tu wanawasubiri nyie hiyo October 29 muende kuwaondoa?
Maandamano ya kweli, yenye nguvu na yanayofanikiwa huwa yanaibuka tu "organically" na yanachochewa na hasira na hisia kali kutokana na matendo maovu ya wakati husika siyo haya ya kutangaza miezi miwili kabla.
Kwa Tanzania yametokea matendo mangapi ambayo yangeweza kuibua maandamano lakini kimya kikatanda mitaani hadi watu wakapoa? Watu wamebaki kugugumia na kunong'onezana tu ila hakuna action. Nguvu hiyo ya kuwavuta hao watu waingie road itatoka wapi wakati mmewapa watesi wenu muda wa kujiandaa na kujizatiti na wakati huo huo hisia za watu kupungua?
Kuna jambo nililisema kuhusu Polepole, Mpina na Mange wiki kadhaa nyuma katika post yangu ya mwisho na nasimama na maneno yangu maana baada ya nilichoandika ndiyo siku kadhaa nikasikia "ametekwa". Nasimama na kauli yangu ya awali.
Narudia jambo ambalo nimelisema mara kwa mara. Watanzania bila kuamua kusimama wenyewe bila kutegeana au kutegemea viongozi au watu fulani wawaongoze (au sasa hivi mmeingizwa chaka la eti jeshi lipo tayari kuwasaidia), hamtaiondoa CCM kamwe.
Unajua jukumu kuu la jeshi la police hapa Tanzania? Ni kuzuia uhalifu. Kwa hiyo kinachifanyika kipo katika mstakbari huo. Kutishia ili maamdamano yasitokeeShida hata si kupanga. Ni utayari wa watu. Wakitoka watu laki wasimamishe jiji hata kama walipanga mwaka mzima serikali itafanya nini?
Shida ni utayari wa watu kujitokeza kwa wingi.
Hakuna njia yoyote serikali inaweza kujiami kuwazuia Watu wakitoka kwa maelfu ya maelfu. Wataomba poo wenyewe.
Kama hiyo njia ingekuwepo basi mikutano ya CCM isingejaa matamko kuhusu kuandamana, wala jeshi lisingekuwa lina angaika kuwatisha watu. Pona yao na maombi yao ni kuwa watoke wachache, kukosekane muitikio. Vinginevyo haichukui hata masaa matano Samia atakimbia na Helkopta kuelekea Oman.
HAIPO SERIKALI YA KUSHINDANA NA SAUTI YA UMMA. HAIPO!
Wewe ni mkenya ??Watanzania ni wapuuzi kuanzia hao diaspora
Kama hautaandamana sema kwa sababu nalidhishwa na uongozi wa CCM, naogopa virungu vya polisi au sijaridhshwa na organization ya maandamano mimi sitaandamana. Usijumuishe wengine kwenye maamuzi yako binafsi.Kabla haujasoma ninachotaka kusema, embu tuelewane kidogo. Sijawahi kuisifia wala kuitetea CCM na serikali zake. Siungi mkono vitendo vyovyote vya unyanyasaji, utekaji, mauaji na uminywaji wa haki na uhuru wa raia wa Tanzania. Baada ya kusema hayo, naomba niendelee na mada yangu ya leo.
Hauwezi kutangaza takribani miezi miwili kabla kuwa unaenda kufanya maandamano ambayo nia yake ni kuiondoa serikali halafu uende kufanikiwa. Hivi mnadhani miezi hii yote hao CCM na serikali yake wamekaa tu wanawasubiri nyie hiyo October 29 muende kuwaondoa?
Maandamano ya kweli, yenye nguvu na yanayofanikiwa huwa yanaibuka tu "organically" na yanachochewa na hasira na hisia kali kutokana na matendo maovu ya wakati husika siyo haya ya kutangaza miezi miwili kabla.
Kwa Tanzania yametokea matendo mangapi ambayo yangeweza kuibua maandamano lakini kimya kikatanda mitaani hadi watu wakapoa? Watu wamebaki kugugumia na kunong'onezana tu ila hakuna action. Nguvu hiyo ya kuwavuta hao watu waingie road itatoka wapi wakati mmewapa watesi wenu muda wa kujiandaa na kujizatiti na wakati huo huo hisia za watu kupungua?
Kuna jambo nililisema kuhusu Polepole, Mpina na Mange wiki kadhaa nyuma katika post yangu ya mwisho na nasimama na maneno yangu maana baada ya nilichoandika ndiyo siku kadhaa nikasikia "ametekwa". Nasimama na kauli yangu ya awali.
Narudia jambo ambalo nimelisema mara kwa mara. Watanzania bila kuamua kusimama wenyewe bila kutegeana au kutegemea viongozi au watu fulani wawaongoze (au sasa hivi mmeingizwa chaka la eti jeshi lipo tayari kuwasaidia), hamtaiondoa CCM kamwe.
Sijui wana hide nini ilhali wao wenyewe walishakula ban ya TCRA. Au wanafikiri kwa kufanya hivyo wale wavamizi hawatavamia tena ofisi zao?Kwanini mnahide tusi ?