Duniani kote Ukombozi huletwa na Mtu mmoja aliyejitoa Kwa ajili ya Wengine, Yesu akasema " enyi Wanawake wa Jerusalem msinililie mimi"

Duniani kote Ukombozi huletwa na Mtu mmoja aliyejitoa Kwa ajili ya Wengine, Yesu akasema " enyi Wanawake wa Jerusalem msinililie mimi"

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Chadema kama kundi hawawezi kuleta Ukombozi wowote ila Mwanachama mmoja wa Chadema aliyejitoa Sauti yake inaweza kumfikia Mungu wa Mbinguni

Kwa mfano Shujaa Magufuli alijitoa Sadaka yeye binafsi kwa ajili ya Taifa hili

Shetani ndio hukusanya Umati mkubwa wa Watu Ili awaingize kuzimu lakini Mungu wa Mbinguni huleta Ukombozi kupitia Mtu mmoja tu

Ahsanteni Sana
 
Upo Sahihi.
Mabadiliko Duniani kote kwèñye mataifa Makubwa yaliletwa na Mtu mmoja.
Hapo ndîo huitwa Baba WA Taífa Fulani
 
Kwani hiki chama cha "CHADEMA" kinataka kutuletea ukombozi gani sisi watanzania ?!!

Ni miaka mingi huwa ninajiuliza....

Kwa kuwa mimi ni mnywaji kahawa tu na si pombe...

Ilifikia siku nikaamua ninywe pombe kiasi kwa lengo kuwa AKILI ZITATULIA...baada ya kile kisichana* cha "konyagi" sikulewa...ila mwili ulipoanza tu kuchemka joto nikaenda sehemu kutulia na kuanza kujiuliza huo UKOMBOZI wanaoutafuta CHADEMA....

Kwa hakika majibu sikuyapata....
 
Back
Top Bottom