Albadiri nayo ni scam, kama scam nyingine. Karma ipo na inafanya kazi hili halipingiki.
Msemo wa malipo ni hapahapa duniani ndio "karma hiyo".
Ukifanya mema utalipwa mema na ukifanya mabaya utalipwa mabaya kama kawaida. Kitu kinachoitwa Albadir hakina nguvu yoyote ile , hakijawahi kuwepo na hakitokuepo.
Haijawahi kutokea eti Aya fulani itamsababishia fulani madhara, karma itakufuata popote wewe ulietenda lakini albadir haiwezi kamwe.
Iraq, Palestina, Lebanon huko watu wanapigika kama kawaida ina maana wao hawajui hizo aya za albadiri?