Alisomewa Afande Sele na hakufa. Vitu vingine ni kutushana tuAlbadiri nayo ni scam , kama scam nyingine,
Karma ipo na inafanya kazi hili halipingiki.
Msemo wa malipo ni hapahapa duniani ndio "karma hiyo"
Ukifanya mema utalipwa mema na ukifanya mabaya utalipwa mabaya kama kawaida ,
Kitu kinachoitwa Albadir hakina nguvu yoyote ile , hakijawahi kuwepo na hakitokuepo,
Haijawahi kutokea eti Aya fulani itamsababishia fulani madhara , karma itakufuata popote wewe ulietenda lakini albadir haiwezi kamwe,
Iraq, palestina, Lebanon huko watu wanapigika kama kawaida ina maana wao hawajui hizo aya za albadiri , ?
Vipi kuhusu ulozi
Mkuu si kupingi ila uelewa wako mdogo sna ila ukweli wa ukweli vitu vyote hivo vipo, na maanisha albadiri na karma(zipo aina mbili) , lau kama ingewezekana basi ninge kuelekeza sehemu uende kuiba kitu (na hapo Huwa hawafungi milango ungeijua hyo albadiri ikoje) albadiri ipo na karma ipo ila albadiri ni haramu (imekatazwa) ila karma haina shida ila kuhusu Palestine, Lebanon na Iraq hao hzo karma zinafanya kazi lakini zile direct ndio ninazohisi,Albadiri nayo ni scam , kama scam nyingine,
Karma ipo na inafanya kazi hili halipingiki.
Msemo wa malipo ni hapahapa duniani ndio "karma hiyo"
Ukifanya mema utalipwa mema na ukifanya mabaya utalipwa mabaya kama kawaida ,
Kitu kinachoitwa Albadir hakina nguvu yoyote ile , hakijawahi kuwepo na hakitokuepo,
Haijawahi kutokea eti Aya fulani itamsababishia fulani madhara , karma itakufuata popote wewe ulietenda lakini albadir haiwezi kamwe,
Iraq, palestina, Lebanon huko watu wanapigika kama kawaida ina maana wao hawajui hizo aya za albadiri , ?
Kaibe kitu au katembee na mke wa mpemba au mkojani either mtumbatu, halafu uje hapa ulete ushuhuda,Ukikuta masheikh walivotoa macho kutisha watu utahisi kweli ipo , lakini hakuna kitu kama hiyo
Nayo ni ulaghai wa mchana kweupe, wakongo kwa nini wasiwaroge waasi wanaowatesa miaka yote toka wazaliweVipi kuhusu ulozi
Kama haujui basi haujui tu, ndio maana vitabu vya dini vina sisitiza juu ya elimu nakama hilo limekushinda basi jifunze hata ya wahenga utapata faidaYote ni au subject to Imani ya mtu. Hakuna kilicho universal!
1. Uchawi unaamniwa zaidi na watu weusi na waasia!
2. Karma inaaaminiwa zaidi na wahindi!
3. Novena, upako, uvuvio, lugha gongana, maji ya baraka Ina aminiwa zaidi na Wakristo!
4. Albadir inaaaminiwa zaidi na Waislamu
Kazi ni kwako!
Ujinga ni kudhani wenzako wanakosea wewe unapatia!