Duniani kuna mambo!

Mambo gani?...mbona jamaa yuko poa tu...ame relax na kupose kama mtu wa kawaida tu
 
Alitakiwa kukamata SAFARI BARIID siyo hako ka-Sprite..hapo ndio kaharibu huyo jamaa..
 
hahahaha ni kweli kuna mambo picha zenyewe zinzchekesha
 
Tumbo KUBWA kama chumba self contained, choo humuhumo..lolz
 
Jamani hilo tumbo na mvua hizi za el nino angezaliwa same sidhani kama angeweza kukimbia hata hatua kumi na tano
 
Hilo tumbo ni kama baloon...so El nino ikija anafloat...halafu ma-miss woote na mifupa yao wanazama au awaokoe..atafaidi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…