Yapo sana hayo mambo ila mwisho wake huwa mbaya kwa mmoja au wote..Kuna jamaa anaishi na girlfriend wake, jamaa hana kazi, hela wanayoitegemea ni dada kwenda kutafuta wateja usiku kwenye hoteli za kitalii. Jamaa halali mpaka bibie arudi na akirudi anamuwekea maji ya kuoga.
Hayo ndiyo maisha waliyo chagua
Ooh RIP, Hii couple niliiyona mwenyewe nilichoka. Jamaa hana hata wazo la kutafuta kazi.Yapo sana hayo mambo ila mwisho wake huwa mbaya kwa mmoja au wote..
Niliwah kuishi na watu wa aina hiyo pale Dodoma,jamaa ni bodaboda saa kumi na moja jioni anamchukua mkewe wanaenda CDA CLUB jamaa anapaki nje kusubur wateja na mwingine anapak ndani au nje anasubir wateja saa tano wanapitian kurudi home kulala ila marufuk kulala nje mwanamke.
So sad nilisikia walipata ajali wakafa wote walikuwa wanaikimbia difenda ya polisi wkaingia vibaya mataa wakapitiwa semi
Afu sijui akili zao huwa wameweka wapi mana mwanadamu wa kawaida huwez fikiria kufanya iko kituOoh RIP, Hii couple niliiyona mwenyewe nilichoka. Jamaa hana hata wazo la kutafuta kazi.
Shosti wangu acha fixKuna jamaa anaishi na girlfriend wake, jamaa hana kazi, hela wanayoitegemea ni dada kwenda kutafuta wateja usiku kwenye hoteli za kitalii. Jamaa halali mpaka bibie arudi na akirudi anamuwekea maji ya kuoga.
Hayo ndiyo maisha waliyo chagua
Real Hustlers😧Yapo sana hayo mambo ila mwisho wake huwa mbaya kwa mmoja au wote..
Niliwah kuishi na watu wa aina hiyo pale Dodoma,jamaa ni bodaboda saa kumi na moja jioni anamchukua mkewe wanaenda CDA CLUB jamaa anapaki nje kusubur wateja na mwingine anapak ndani au nje anasubir wateja saa tano wanapitian kurudi home kulala ila marufuk kulala nje mwanamke.
So sad nilisikia walipata ajali wakafa wote walikuwa wanaikimbia difenda ya polisi wkaingia vibaya mataa wakapitiwa semi
hahahahaWrite your
reply...kama maisha ya wavulana wa dar
Japo maisha ni kuchagua ila sio kihivyo hao ni higher risk takerKuna couple moja mume alikuwa muuza nazi gengeni, hali ikiwa ngumu mke anaingia kiwanja. Walipata watoto wawili, wa kike na wakiume.
Siku moja mama akiwa kiwanja alipata buzz la kizungu. Lilifika bei linataka kuoa, mama alijadiliana na mumewe walikubaliana kugawana watoto.
Mama aliolewa akaenda Ulaya na binti mzee alibaki na wakiume. Mama alikuwa mjanja kufika Ulaya alimshawish mzungu wanunue nyumba bongo, alimuandikisha mtoto wa kiume.