Duniani kuna watu wa ajabu

*jamani duniani kuna watu wa ajabu sana yani huwezi amini jana nmekaa na mtu mmoja kanisani anavuta sigara bila hata woga nilitetemeka nusura niangushe bia yangu*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha na ww pia ni wa ajabu
 
Acha kiama kije tuu, sasa ulishangaa nini wewe nawe mule mule fbi
 
*jamani duniani kuna watu wa ajabu sana yani huwezi amini jana nmekaa na mtu mmoja kanisani anavuta sigara bila hata woga nilitetemeka nusura niangushe bia yangu*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
*jamani duniani kuna watu wa ajabu sana yani huwezi amini jana nmekaa na mtu mmoja kanisani anavuta sigara bila hata woga nilitetemeka nusura niangushe bia yangu*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kama ungekuwa umezaliwa miaka ya 2000 ningesema wewe ni kizazi cha singeli ila hii na bampa to bamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…