Dali Mpofu
Senior Member
- May 9, 2021
- 173
- 328
Uzembe wa hali ya juu🤭 sijui tunafell wapi🤣🤣🤣🤸🤸🤸
MTU MTU MTU em njoo huku bhanaUzembe wa hali ya juu
Na singlemom anaitwa machelor...we hujui😜Hamna neno singo father, anaitwa bachelor..........
Ok asanteHamna neno singo father, anaitwa bachelor..........
Uone kiwango cha uzembe wakoMbona kusumbuana asubuh asubuh, enh umetuitia nini?
Ukiwatoa hao wawili bado idadi ni bilioni 8 kwaio bado wengiTatizo tunaowapenda Wana watu waoView attachment 3076097
Daah nimekaza mpaka nimetia mimba uko naitwa mzembeUone kiwango cha uzembe wako
umeninyima ujue..MTU MTU MTU em njoo huku bhana
Hayo ndo Mambo sasa😊Tufanye mpango 😁
🤣🤣🤣🤣Wamekufanyaje sijui...umeninyima ujue..
Nikiona neno single mama au kusikia moyo unaruka paaaa.. sina hamu na hao watu 😂😂