Duniani kuna wehu si mchezo

Duniani kuna wehu si mchezo

Mdondoaji

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2009
Posts
5,108
Reaction score
1,137
Michael Jordan Look-A-Like Sues Former NBA Star
Allen Heckard Vs. Michael Jordan

An Oregon man said he doesn't want to be like Mike, but that he doesn't have a choice.

Allen Heckard, who said he is constantly harassed because he looks like Michael Jordan, is suing the star over the situation.

Heckard said nearly every day for more than 15 years he's been mistaken for Jordan and he's grown tired of it.

He said he's suing Jordan for defamation, permanent injury and emotional pain and suffering.

He's also suing Phil Knight, the founder of Nike, for defamation and permanent injury, for promoting Jordan and making him one of the most recognized men in the world.

Si mchezo mie nilidhani wehu wapo Tanzania (according to Makamba) kumbe hata marekani wapo duh!!!
 
Si mchezo mie nilidhani wehu wapo Tanzania (according to Makamba) kumbe hata marekani wapo duh!!!
Shika adabu yako! Huyo Makamba ni siwa na baba yako! Jaribu kuwa na heshima! na acha ulimbukeni wako!
 
Shika adabu yako! Huyo Makamba ni siwa na baba yako! Jaribu kuwa na heshima! na acha ulimbukeni wako!

Sasa mzee mbona unanishikisha adabu kwa kosa ambalo sijafanya mie sie niliyetamka neno la wehu ni baba yako makamba mwenyewe kamshikishe adabu yeye ajue la kutamka mbele za watu badala ya kutumia maneno yasiyokuwa ya kistaarabu mbele za watu!!!!
 
Achana na Kibs, yeye hataki mtu aiguse sisiemu kwa hali yoyote, hata kwa mambo dhahiri na madogo kama hilo. Ndo shida ya kunawishwa maji ya bendera!
 
Shika adabu yako! Huyo Makamba ni siwa na baba yako! Jaribu kuwa na heshima! na acha ulimbukeni wako!

Naona mzee ulinyweshwa maji ya kijani yale yale hata chichiemu ikisimamisha mbuzi utaipa kura imradi ipo upande wa kijani nimeipenda hii si n'chezo.
 
Shika adabu yako! Huyo Makamba ni siwa na baba yako! Jaribu kuwa na heshima! na acha ulimbukeni wako!

Mkuu so kama baba yako akiwehuka watu watamwitaje unazani? Mheshimiwa or.......?
 
Unajua kaka saa zengine mapenzi ya kupenda mtu au kitu yanaweza kukufanya ukawa kipofu kama sio na kiziwi kabisa!! Jamaa aliripuka kuwaita watu wehu sasa sijui nae tumwiteje?
 
Shika adabu yako! Huyo Makamba ni siwa na baba yako! Jaribu kuwa na heshima! na acha ulimbukeni wako!

Unajua Mgosi Makamba ametoka mbali sana; toka Katibu kata kule Singida[ alikoopolewa na marehemu Moses Mnauye RIP] mpaka kufikia ukatibu mkuu sio kazi rahisi ; mgosi amekwepa mishale mingi. Inawezekana wakati mwingine anajisahau anafikili bado ni katibu kata badala ya kuwa katibu mkuu wa CCM na ndio maana anatukana matusi ya nguoni!! Anafikiri ameajiriwa na Kikwete na sio Chama kwahiyo yu radhi kuwatukana wajumbe wa ccm Nec ili mradi anamtetea mwanachama mmoja ambae ni Mwenyekiti anaechaguliwa na wanachama!!
 
Back
Top Bottom