Duniani mengi yamepotoshwa

Nijuacho mimi moses hajaandika kitabu cha mwanzo.
Kitu ambacho kinafanya maandiko yote kuwa alinacha
 
Kwakuwa basis yako ni biblia tu ,ni sawa ukiona urongo mwingi au ushindwe kuelewa kabisa kwakuwa hata biblia yenyewe inajitanabaisha kwenye yeremia 8:8 tazama sisi tuna akili na taurat ya bwana ipo pamoja nasi "ila kalamu ya muandishi imeifanya TOURAT KUWA UONGO"
sasa wewe huwezi pata kitu humu
Ila kuna kitabu kitukufu na ambacho hakina shaka ndani yake itaondoa doubts zako zote go and read usiniambie nikusomee sasa nakupa assugnment km unataka hasa upambanuzi yakinifu
 
Mkuu Ntafwatilia.

Ila kwa nijuavyo ni kuwa Quran ni muhutasari wa Biblia.
Quran ni kitabu kisicho ndani yake quran 2:2 wakati biblia ni kitabu kilichoharibiwa na waandishi waongo yeremia 8:8
 
Kiukweli mtoa mada upo vizuri sana sana, hongera sana.

Siku zote nimekuwa nikiyaona haya kwa mapana na mrefu, ila sijawah kuona au kusoma popote kwa ukamilifu huu.

Hongera sana, huu mfumo unao sema umewekwa kwa manufaa ya pande fulani. Kama kuugeuza ukweli kuwa uongo na uongo kuwa ukweli ili kutuchanganya wawezavyo na kupata kile wanachotaka.

Ukiangalia huu mfumo unawatu wake na otoa nafasi kwa watu wasio na akili hata moja na wenye akili kiwango cha genias. Ili kuchanga na kupata ladha kama vile mapishi, coke, zege na vitu vyote kama kula na kunya vyote vipo katika system moja.

Chamsingi angalia mambo yako tu na fuhata amri kumi za Mungu. Biblia sijui nini tupa dampo.. Mungu yupo ila hivyo vingine ni stori ya Genge tu fulani kwa manufaa yao.

Hakuna mmea bila maji, hakuna gari bila ya betri. Mungu yupo hapo sikuungi mkono.
 
Ndio akili yako ilivyoelewa hivyo sikulaumu
iko siku utajua mungu anafananaje
 
sayansi ya mungu ni pana xana sio rahis ww kujua but ipo siku utajua mungu ni nani kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…