BrownRange
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 927
- 1,191
Pesa ninayo ya kunitosha
Kweli mkuu...Ukiwa masikini duniani unapigika na maisha, ni Bora uwe masikini lakini utende mema na kusali sana. Usipoangalia Duniani utapigika na ukifa unapigika tena
Tenda wema na swali sana kabla hujaswaliwa