Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Hii ipo kimtazamo, pamoja na hofu ya u single mother, umri kwenda, hofu kukosa ndoa au kuolewa, wanawake wanabaki kutawala dunia ya raha na furaha, wengi waume za watu wanaenjoy na masingle baby na masingle mother na ufariji waupatao huzidi wake wa ndoa, wanawake wamejaliwa kufurahi kucheka kuburudika kujiliwaza na hunufaika na dhahabu ya kupendwa au kutakwa kimapenzi.
Mwanamke akijitunza vema na akawa na mvuto mwanana hata maumivu ya kukosa ndoa na u single mother unahamia Somalia, Iraq, Ethiopia, Yemen na Syria.
Kula vizuri, vaa vutia, pendeza, pesa na maendeleo, jali afya yako, kula misosi ya afya, jiepushe na u Malaya au kuwa Dada cha wote, achana na P2 na Majira utopolo ya uzazi, uwe vizuri up stairs. Kudadadeki hutakaa uwaze huzuni au upweke wowote ule.
Ila ukiwa Dada Ufufu au Dada Mpapaso ujipange kwa yajayo.
"Wanawake wote heshima yenu nyie ni mama na walezi wetu"
Respect to all Women.