Abelaurent
Member
- Nov 13, 2022
- 17
- 20
Atomic memory,DNA ,ELEMENTS NI USHAHIDI TOSHAUna ushahidi wowote wa kisayansi wa viumbe au elements kusafiri kutoka Mercury hadi Earth?
Kuna ushahidi wowote wa mabaki yoyote ya organic signatures kutoka Mercury ?
Unamaanisha atomi zina ufahamu au kumbukumbu ya mazingira yake ya zamani?Atomic memory,DNA ,ELEMENTS NI USHAHIDI TOSHA
Mwaka mpya wa kiislamu.Bado tuko mwaka 1448
AsanteHuwa naheshimu sana taaluma za watu isipokuwa siasa uchwara za kubwatukiana hapo huwa sina heshima..
Naomba nikae kiti cha mbele kupata elimu ya hili swala.
Mtoa mada uwe mvumilivu maana kuna watu na viatu.
Huu si Mwaka wa kiislamu ?Bado tuko mwaka 1448
Its not only about our understanding, question on your self, why are you remembering the things that your not there the time were existing,Chanzo cha ulimwengu ts beyond our current understanding. Hata ikisemwa mwanzo wa yote ni giza swali litahitajika kujibiwa, giza ni nini? Liliexist wapi? Chanzo cha hilo eneo ambapo giza liliexist ni nini? Kazi itakuwa ni kutafuta chanzo cha chanzo cha chanzo.
Giza halina chanzo ndo asili yenyewe ya ulimwengu,mwanga ndo mtoto wa giza,giza ni mama,utupu hauna asili pia because an emptness and dark universe was never created has no formula of creation,Chanzo cha ulimwengu ts beyond our current understanding. Hata ikisemwa mwanzo wa yote ni giza swali litahitajika kujibiwa, giza ni nini? Liliexist wapi? Chanzo cha hilo eneo ambapo giza liliexist ni nini? Kazi itakuwa ni kutafuta chanzo cha chanzo cha chanzo.
Muamini tu mkuu.Amevuviwa.Una ushahidi wowote wa kisayansi wa viumbe au elements kusafiri kutoka Mercury hadi Earth?
Kuna ushahidi wowote wa mabaki yoyote ya organic signatures kutoka Mercury ?
ELEMENTS sio kwamba zimesafiri huwa zipo pote ulimwenguni,pia husafiri kwa njia ya radiation and physical movement through evolution in the solar system ,eg vimondo etzUna ushahidi wowote wa kisayansi wa viumbe au elements kusafiri kutoka Mercury hadi Earth?
Kuna ushahidi wowote wa mabaki yoyote ya organic signatures kutoka Mercury ?
Unatoa majibu mepesi sana, hayafikirishi.ELEMENTS sio kwamba zimesafiri huwa zipo pote ulimwenguni,pia husafiri kwa njia ya radiation and physical movement through evolution in the solar system ,eg vimondo etz
Ameomba tujadili, lakini naona majibu anayotoa ni mepesi sana, hayafikirishi kabisa.Muamini tu mkuu.Amevuviwa.
Ok mkuu. Utupu ni nini?Giza halina chanzo ndo asili yenyewe ya ulimwengu,mwanga ndo mtoto wa giza,giza ni mama,utupu hauna asili pia because an emptness and dark universe was never created has no formula of creation,
Consider ,the empty space must be there whatever something is there or not
Utupu ni mahali pasipo na kitu chochote,mfano ,anga,alafu ondoa hewa/gesi zote,odoa mwanga ,ondoa viumbe patikoz zote,ondoa maji maji /vapour. Hapo ndo utakuwa na utupu,(an emptness) na darkness (giza )Ok mkuu. Utupu ni nini?