Duniani Wanawake Waganda wanaongoza kwa kuwa na Mizigo au Matrakoo Asilia. Zunguka popote, hawa viumbe wamejaaliwa

Picha ziko wapi kijana!!!?

Nimekasirika sana!!yaani bila picha kabisa Sasa macho yangu yataona nini sasa!!?
 
Waganda ni noma hadi huko Dubai na arabuni kote wasrabu wamepagawa vibaya sana, China huko ndio usiseme
Na hizo nchi waganda hasa kina dada wanaenda sana aidha kibiashara au kwenda kuwa wafanyakazi wa ndani/migahawani huko nchi za arabuni.

Alafu nchi yao Museveni kawawekea utaratibu mzuri yaani waganda kwenda china, uk, arabuni, na nchi zinginezo za ulaya ni rahisi sana kwao kupata VISA.

Shida ipo Tz yaani kupata VISA ni mtihani kufika ulaya kwenyewe unaonekana upo vizuri sana..daah, kumbe inatakiwa ionekane kawaida tu kwenda kutembea.

Waganda kila siku kila wiki wana flock tu nchi za ASIA, ULAYA e.t.c Kama mtu anaenda maliwatoni tu.
 
Where is your supporting evidence young man!! I need many pictures of those Ugandan ladies with big....!! So that i can agree with you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…