Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Walikomtoa alifanya vizuri zaidi, huko wanakotaka kumchomeka wanamharibu'....chaguo la Mwenyekiti ni Paul. Lakini hofu ni je wale wazee watakubaliana naye kwa kigezo cha umri? Chaguo lake la pili ni William Lukuvi na ndiye hasa hata yeye anaona itampa u rahisi kukubalika ndani ya mfumo.'
Duru.
Je, Lukuvi ku mrithi Kinana?
Nadhani Makonda anafaa kwa nafasi hiyo kwa sababu wapiga kura ni vijana siyo wazee, akifanya hivyo Dkt Samia atajihakikishia kura za vijana wote na kanda ya ziwa.'....chaguo la Mwenyekiti ni Paul. Lakini hofu ni je wale wazee watakubaliana naye kwa kigezo cha umri? Chaguo lake la pili ni William Lukuvi na ndiye hasa hata yeye anaona itampa u rahisi kukubalika ndani ya mfumo.'
Duru.
Je, Lukuvi ku mrithi Kinana?
kwa bahati mbaya, lukuvi sio mdini, na siamini kama anasali sana.Mhafidhina,udini mpaka kwenye kope,ananuka udini Kama beberu
bi chura mwenye wajomba oman na anayewapa kila rasilimali ya nchi hii ndugu zake katika imani waarabu sio mdini?Mhafidhina,udini mpaka kwenye kope,ananuka udini Kama beberu
Lukuvi hakubaliki kabisa Zanzibar.'....chaguo la Mwenyekiti ni Paul. Lakini hofu ni je wale wazee watakubaliana naye kwa kigezo cha umri? Chaguo lake la pili ni William Lukuvi na ndiye hasa hata yeye anaona itampa u rahisi kukubalika ndani ya mfumo.'
Duru.
Je, Lukuvi ku mrithi Kinana?
Kwani unajua status aliko na ya afya yake?Nadhani Makonda anafaa kwa nafasi hiyo kwa sababu wapiga kura ni vijana siyo wazee, akifanya hivyo Dkt Samia atajihakikishia kura za vijana wote na kanda ya ziwa.
Kuwa mdini mdini sana haina maana ni kusali sana bali ni kuwa na chuki na wale wa Dini nyingine isiyokuwa yake !kwa bahati mbaya, lukuvi sio mdini, na siamini kama anasali sana.
Yupo salama kabisa kwa madibaKwani unajua status aliko na ya afya yake?
Kwani yale yaliyokuwa yamesemwa kuhusu Paul ni kweli ??!Kwani unajua status aliko na ya afya yake?
Anakula maisha tu kama kawaida !Yupo salama kabisa kwa madiba
Nanyi mmetuchosha, kutwa kuwaza kugawana vyeo, smmh'....chaguo la Mwenyekiti ni Paul. Lakini hofu ni je wale wazee watakubaliana naye kwa kigezo cha umri? Chaguo lake la pili ni William Lukuvi na ndiye hasa hata yeye anaona itampa u rahisi kukubalika ndani ya mfumo.'
Duru.
Je, Lukuvi ku mrithi Kinana?
Ni makamu mwenyekiti bara sio makamu mwenyekiti ZsnzibarLukuvi hakubaliki kabisa Zanzibar.
Forbid hizo kura za vijana, kama ikitokea vijana wakapiga kura kwa uwingi na umoja wao basi ccm itafute kabati la kujifungia, vijana hawaitaki ccm kabisa!! Kabisa kabisa! Ila tuelewe tu kuwa ujana au uzee kwa africa hii una tafsiri tofauti na kwingineko, hapa tanzania unaweza ukampata kijana mwenye miaka 40 au ukampata mzee mwenye miaka 25, ila ukweli ni kuwa nchi hii ina wazee wengi vijana kuliko vijana wazee, sasa hawa wazee vijana na wazee kichwa ndiyo wanaoiweka ccm kileleni,otherwise ccm ingeshakuwa dusted off.Nadhani Makonda anafaa kwa nafasi hiyo kwa sababu wapiga kura ni vijana siyo wazee, akifanya hivyo Dkt Samia atajihakikishia kura za vijana wote na kanda ya ziwa.
Makamu Mwenyekiti wa chama cha kitaifa kinachoongozwa na Mwenyekiti Mzanzibari anayewapanga Wazanzibari na watu wanaokubalika Zanzibar.Ni makamu mwenyekiti bara sio makamu mwenyekiti Zsnzibar