Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Kwa mujibu wa mnyetishaji aliye karibu na mmoja wa wale Wabunge (Covid 19) amedai Wajumbe hao wa Kamati Kuu ya Chadema wameshakubaliana endapo Lissu ataibuka mshindi wa kiti cha Mwenyekiti wa Chadema Taifa pasi na kusubiri hata siku moja mbele watatangaza kuhamia CCM.
Moja ya mke wake si Mbunge katika wale Covid, ndiyo katujuza hapa, tayari Mr wake na hao wenzake wametengeneza Group na wameshakubaliana endapo Tundu akishinda mara moja wataomba kupokewa huko CCM. Wazi wanatambua Tundu atawala kichwa mapema tu na ndiyo maana hawana amani kabisa."
Wanne hao tayari wana Group la sogozi na tayari mipango ya kukimbilia CCM walishaanza kuifanya kwa kuwasiliana na Makalla na usishangae hata Mkutano Mkuu wa CCM ujao pale Dodoma baadhi yao wanaweza kuibukia huko hiyo siku."
Duru.