Dushelele....

si unajua kijana ana maujanja ya mtu mzima R.Kely....mm nimependa video zake,,dogo katengeneza video mbili wimbo moja ni nzuri balaa..hope umeziona zote
 
yeah... i think ana very good advisers
 
....inawezekana hilo pia...akiendelea vzr anaweza fika mbali..
 
Dogo amefanya poa sana katika hilo sebene, kweli amejizihirisha kuwa yeye ni mwanamuziki na nimbunifu.
 
mi napenda umbo lake sana
 
I like Kiba wimbo wake wa "nakshi nakshi" kamwe haunichoshi....
Na safari hii kwa kweli he is growing ki music na yeye pia...

Naona nikja kwa dada hatutakwazana choice of music... Dushelelee....
 
mh.. sasa wewe umeenda mbali, ni najua mshedede ndio hapo anaposhika, dushelele ni nick name ya mtu
sijenda mbali hata chembe...hiyo ni kwa mujibu wa mmoja wa watu wake wa karibu,nami nilidhani nimetaniwa ila baada kuona aina ya uchezaji wake nikaanza kuamini,labda ni tofauti na nilivyoelezwa!!!
 
sijenda mbali hata chembe...hiyo ni kwa mujibu wa mmoja wa watu wake wa karibu,nami nilidhani nimetaniwa ila baada kuona aina ya uchezaji wake nikaanza kuamini,labda ni tofauti na nilivyoelezwa!!!
kuna verse ya Ali wa leo, na nyingine ya dushelele wa leo...

Ila we nawe mkaree aisee, yani ume-centralize kabisa mawazo?
 
shindwa...sina ukame wa aina hiyo mpaka niwaze mishedede....usintafute niongee wakati nanyonyesha hapa!

hahahaaaaaaaaaaaaaaaa... wengine wakinyonyesha, basi na yale mengine huhemuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…