KYALUMUKUNZA
Senior Member
- Aug 19, 2012
- 145
- 28
jamani ajabu na kweli jamaa alieomba nafasi ya tutorial assistant (lecturer) katika chuo cha mwalimu nyerere memoral academy(MNMA) matokeo yametoka angalieni (PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS) amelamba zeroooooo! kwa lugha nyingine ametaga najiuliza jamaa amemaliza chuo gani na je angemfundisha nani au na wahitimu wa sasa wa vyuo nao wanamaliza vyuo hawajui kusoma na kuandika? naomba kuwakilisha.