KYALUMUKUNZA
Senior Member
- Aug 19, 2012
- 145
- 28
WEWE na we ni mtoto kufeli si kitu cha kushangaza unajua alikuwa katika hali gani wewe wangekua wanafaulu wote pepa ya nini?jipange na ukue mambo ya kuponda watu hayafai ingekua ni wewe umepondewa ivo ungefurahi?watu wengine sijui wakoje
we mtiani wa maisha wenyewe umefeli mbona hakuna aliekucheka ndugu kuwa makini yatakurudia na wewe...kuwa lecturer si sababu ya kufaulu na historia yako si sababu ya kukufanya uwe na ufaulu mzuri JIPANGEacha ushamba wa kupindukia nimeleta hiyo mada ili watu wachangie point na kuchambua hivi jiuliza kama jamaa amemaliza chuo na anavyeti na GPA KUBWA kiasi kwamba anajisikia kuwa lecturer halafu unapata zero hii ndo inaniletea wasiwasi au alikuwa anahonga na kupitishwa kwenye mitihani ya chuo jamani hata moja tu asiambulie aaaa hapana huyu lazima atakuwa ni kihiyo.
ndugu mbona unahamisha mada hapa tunazungumzia elimu wala si kufaulu au kufeli maisha au ndo wewe niniwe mtiani wa maisha wenyewe umefeli mbona hakuna aliekucheka ndugu kuwa makini yatakurudia na wewe...kuwa lecturer si sababu ya kufaulu na historia yako si sababu ya kukufanya uwe na ufaulu mzuri JIPANGE