The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,412
- 20,685
To cut story short, pitia profile yangu kuna uzi 2 nimeeleza kuhusiana na ndoa yangu...
Thing is, nimeoa kwa kuwa nilikuwa nahitaji kukaa na mwanangu, mwanamke upendo ulishaisha kitambo, ni huruma tuu pia kwa kuwa ni mgonjwa wa kisukari na mm nikaona kama ninauwezo kwa nini asikae kwangu nimsaidie?
Binti nimpendaye sana ambaye hata siku ninaenda kufunga ndoa ijumaa 12/5/20.. tuliamka wote pamoja tukaenda kuchukua mguu wa ng'ombe ukiwa na mkia wake kwa kukamilisha mahari kisha nikaenda kumdrop anapoishi na mm kuupeleka mguu kwa mjomba...
wiki ya tatu sasa kaniambia hawezi tena haoni future kati yetu, ninajaribu kumsahau ninashindwa, anajaribu kunisahau hawezi, nikimblock kila mahali atatafuta namba nyingine anichek,
Siwezi kubadilisha namba ya simu maana ndiyo kila kitu kwangu, mahusiano hataki ila hataki kunipoteza...nduguvzangu huyu mwanamke anataka nini?moyo mashineee...ila kumpenda ninampemda kweli
Note: JF msipost hii kwenye insta, fb naomba mheshimu uamuzi wangu