Duuh, nimepatikana...Nampenda huyu mtoto kuliko maelezo

The Wolf

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
9,412
Reaction score
20,685
To cut story short, pitia profile yangu kuna uzi 2 nimeeleza kuhusiana na ndoa yangu...

Thing is, nimeoa kwa kuwa nilikuwa nahitaji kukaa na mwanangu, mwanamke upendo ulishaisha kitambo, ni huruma tuu pia kwa kuwa ni mgonjwa wa kisukari na mm nikaona kama ninauwezo kwa nini asikae kwangu nimsaidie?

Binti nimpendaye sana ambaye hata siku ninaenda kufunga ndoa ijumaa 12/5/20.. tuliamka wote pamoja tukaenda kuchukua mguu wa ng'ombe ukiwa na mkia wake kwa kukamilisha mahari kisha nikaenda kumdrop anapoishi na mm kuupeleka mguu kwa mjomba...


wiki ya tatu sasa kaniambia hawezi tena haoni future kati yetu, ninajaribu kumsahau ninashindwa, anajaribu kunisahau hawezi, nikimblock kila mahali atatafuta namba nyingine anichek,

Siwezi kubadilisha namba ya simu maana ndiyo kila kitu kwangu, mahusiano hataki ila hataki kunipoteza...nduguvzangu huyu mwanamke anataka nini?moyo mashineee...ila kumpenda ninampemda kweli


Note: JF msipost hii kwenye insta, fb naomba mheshimu uamuzi wangu
 
Yaani mwanaume anioe kwa ajili ya huruma. Hapana asee. Nahisi ungemwambia huyo mwanamke unamwoa kwa ajili ya huruma na si upendo asningekubali
siyo huruma tuu, huwa siwezi kuwatupa watu ninaowapenda na sikumuambia hilo ila i asked her & our son to live with me akaniambia haiwezekani aishi na mimi kama nani? nilifikiria nkaamua hivyo, anaumwa lakini i decided to take care of her si kwa kuwa ninamuhitaji kimapenzi lakini
 
Ila kuna watu wana roho ngumu ajabu, yaani unalala na mtu mwingine usiku wa kuamkia ndoa yako? Na huyo mwanamke nae anakubalije kulala na wewe ambaye anajua kesho yake unaenda kuoa mwingine na kumwacha yeye?

Kama kweli mnapendana oaneni, awe mkeo wa pili.
 
Yes bro i did it, siyo roho ngumu
 
Wewe unampndaa ila yeye hakupndi,dah pole Sana Mkuu ila huo tunaitaa ulimbukeni Acha ulofa pumbaf wewe
 
Wewe unampndaa ila yeye hakupndi,dah pole Sana Mkuu ila huo tunaitaa ulimbukeni Acha ulofa pumbaf wewe
siyo kwamba hanipendi mkuu, ananipenda sanaa and alikuwa hapo siku zote na maumivu yote ya ndoa yangu kayapitia sasa ndio kaamua imetosha, nimekirj nimemkosea na ninapojaribu kum cut off, anarudi ila hataki mahusiano ya mapenzi tena, just salamubajue ninaendeleaje ivyo na anajua akifanya hivyo ananitesa
 
Achana nae mkuuu,usikose Aman ya moyo kisa mwanamkee good enough umeshaoa temana nae mzeeee Mimi kwakweli huwa sipend mwanamme anaeoneshaa udhaifu Kwa mwanamke watu wwnyewe wako Weng why should you bother with that broh
 
Ndo maana wanasema wanawake mwalim wao kipofu, unajua kabisa anaenda kuoa mwengine bado unakubali kuliwa? Alafu leo ndo unagutuka eti tuachane hakuna fyucha kweli? Mwanamke akipenda anakuwa kichaa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…