Tangia ianzishwe hio FB app ilikua nayo Option ya kublock mtu
Kukataa watakao ku add
Kukataa mtu asione Profile yako
Kukataa mtu asione Email wala namba ya simu uliofungulia akaunt yako ya FB
Na vingine vingi tu
Tatizo sisi tunakurupuka tu na kufungua akaunt na ku log inn
Hatusomi PRIVACY za APPLICATION kwanza