Duuuuh!! Sekretarieti ya Ajira wameita tena kwenye usaili trh 20 Sept-% Oct 2012

mossad

Member
Joined
Mar 20, 2009
Posts
63
Reaction score
3
Wanajamvi wenzangu, nimeona tangazo la kuitwa watu kwenye usaili katika sekretarieti ya ajira ya utumishi wa umma usaili utakaofanyika kuanzia tarehe 20 September 2012 hadi 5 October 2012. Kwa wale wote mliiomba mnaweza kupitia pitia katika tovuti yao ila naona wameita baadhi ya fani na sina uhakika kama ni zile nafasi 2285 za May au ni nyingine? Pia nimeona wameitwa kwenye usaili watu 730 walioomba nafasi ya ukatibu tarafa, hivi wanahitajika watu wangapi hadi waitwe idadi yote hiyo? ..........................Kaaaazi kweli kweli!!!!
 
mkuu mbona tunaona tu walio itwa august umuingia wapi wewe? tujuze na sisi,
 
kazi ipo mwaka huu, na hii simo! ALLAH AKBAR.
 
Hizi nafasi hazihusishi zile 2285 za May mwaka huu, maafisa tarafa walikua wanahitjika 145"
 
good luck for those who have been shortlisted
 
Jamani vp post za DIT na Law School nazo zipo tayari walishaita watu
 
duh dizain kama unajfu na ku2rusha rohoo! Haya bwana hongera
 
hizo ni kwa application za july mwishoni kama sio august,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…