Duuuuh

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
Unamaliza kufanya mapenzi na demu ghetto kwako anakuomba chupi yake iliyoanguka upande wa pili wa kitanda. Unaangalia unaona chupi mbili za rangi tofauti, na chupi yake huikumbuki. [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]






Hapo ndo utajua kwa nn mabas ya mwendo kas hayapiti tandale na mbagala

[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
[emoji86]
 
unafanya kama masihara hivi unamuuliza patishia ya njano au nyekundu..?
atakayojibu ndo hiyohiyo
 
Unanusa utajua ipi imevuliwa mda c mrefu.au unapima joto lake ukiona bado ya moto ndo hiyo
 
Unababaisha tu unajifanya kumuuliza baby kabla sijachukua chupi yako, Leo nataka unijibu ulivaa rangi gani ukinijibu bila kigugumizi kuna bonge la zawadi nimekuwekea. Utamkamata tu
 
Hii niliiona kwenye Whatsapp halafu majibu yalikua ya kufa mtu, kicheko full.
Kuna mmoja alijibu eti unamwomba afumbe macho halafu unamvalisha yoyote kati ya hizo mbili, hatimaye unamwacha aende, ikitokea kavaa isiyo atajua mwenyewe huko kudadakei zake.

Japo mimi nashauri unaificha moja na kumkabidhi nyingine, akianza mzuka kwamba sio hiyo, unajifanya kumshangaa mbona ana matatizo ya kusahau hata rangi ya chupi aliyovaa. Lakini jiandae ikitokea size uliompa si ya kwake, aisei....
 
Unanusa utajua ipi imevuliwa mda c mrefu.au unapima joto lake ukiona bado ya moto ndo hiyo

Kwa joto big no, unless uende less than 45 mnts,
Leo nmecheka kama chizi afu ni usiku. Ya kumvisha mojawapo kisiri is the best option
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…