kimaro trederez Member Joined Jan 4, 2023 Posts 30 Reaction score 20 Mar 21, 2023 #1 Jamani nawaomba wahusika DUWASA mtoke hadharani mtuombe radhi, sheria inasema mtu akilipia huduma ya maji ndani ya siku 21 apate huduma. Sasa mimi naenda mwezi wa pili sasa bila huduma sasa huu si usumbufu kwa wateja!
Jamani nawaomba wahusika DUWASA mtoke hadharani mtuombe radhi, sheria inasema mtu akilipia huduma ya maji ndani ya siku 21 apate huduma. Sasa mimi naenda mwezi wa pili sasa bila huduma sasa huu si usumbufu kwa wateja!
The Spirit of Tanzania JF-Expert Member Joined Mar 7, 2020 Posts 1,045 Reaction score 1,868 Mar 21, 2023 #2 Nadhani kama sheria inasema hivyo, wapeleke mahakamani.