mchorongaji
New Member
- Jun 7, 2022
- 4
- 7
Mamlaka ya Maji ya Dodoma (DUWASA)
Kuna maeneo yapo mjini Dodoma hususani maeneo ninayoishi (MKONZE) mwanzo tulikuwa tukipata maji ila toka mwaka huu umeanza maji hayafiki kabisa kisingizio kuwa pressure ya maji ni ndogo tumejaribu kufuatilia kwenye mamlaka husika wakafanikiwa kuchimba kisima maeneo ya Goba ila kina zaidi ya miezi minne hawajafanya usambazaji wa maji hii inapelekea gharama nyingi sana kwa ununuzi wa maji kwani bajeti ya maji tu yaweza fika hata 200,000 kwa mwezi.
Tunaomba DUWASA itusaidie kufanya usambazaji wa maji maeneo ya Mkonze kama walivyoahidi baada ya uchimbaji wa kisima.