Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph, amefafanua sababu ya mgao wa maji Dodoma akisema lazima tuongeze uzalishaji'
Mahitaji ya maji ni lita milioni 159.9 kwa siku tukipata maji lita milioni 159.9 kwa siku hauwezi kusikia mgao Dodoma lakini uwezo wetu wa kuzalisha ukoje uwezo wetu wa kuzalisha ni lita milioni 91 kwa siku. Kwa hiyo tuna uamba wa takribani kama lita milioni 67 au 68 hivi. Tunazalisha kama 57 ya mahitaji ya maji kwa siku. Na ndio maana tuna migao."
"Uzalishaji wa maji hapa Digoma ulikuwa ni uwezo wa kuzalisha ilikuwa ni lita milioni 61.5 lakini mahitaji ilikuwa ni lita milioni 48 tu na hakukuwa na mgao."
Tutapokea mwaka 2030 tutakuwa tunahitaji maji lita milioni 180 tusipoongeza uzalishaji maanake utajikuta tunazalisha labda 40 ya mahitaji ya maji lazima tuongeze uzalishaji." Amesema Aron Joseph
October 2026 kuna mgao wa maji??? Waziri wa maji yupo tu ananenepeana na wake zake wawii. Halafu sasa hapo ni makao makuu ya nchi vipi kuhusu huko vijijini??? Ila hii nchi kuna sehemu ililaaniwa sio bure.