Diploma ya ualimu unaweza pigika maana shule za kata waalimu hawalipwi, kuna jamaa yangu ili humus zaidi ya mwaka kupata mshahara. Sikushauri huko
rev unanifanya nicheke but hata kwa teaching wa primary inaweza kuwa path nzuri pia. Au akasomee unesi. Zamani nilijua manesi ni wanawake tu. Nadhani kuna uhaba wa manesi wanaume. Hii watu wengi hawajui. Sababu umesoma pcb unesi unaweza kuwa path nzuri pia.
Fuatiria hapo kwenye nyekundu,kama unasema unapenda kusoma nenda kasome hiyo miezi 3 na ufaulu huo mtihani.Jamani mimi nimemaliza mwaka huu form 6 nilipa 4.19 pcb yaani fss. Sasa nimejaribu kuulizia vyuo mbalimbali. Cbe wanasema naweza kusoma diploma za Bba,marketing,procument na accountance. Mlimani walisema nisome cheti cha computer science ndo niweze kusoma diploma yake. Ifm naweza kusoma diploma ya It na computer science. Saut naweza kusoma masomo ya pre entry kwa miezi 3 nafanya test nikifaulu nisome dree ya Bba,Advanced diploma ya accountance au procument. Sasa naomba mnisaidie mawazo nichague kozi gani ambayo nikiendelea nayo itanitoa? Af naomba kujua ni chuo gani Dsm kuna masomo ya pre entry. Yaani unasoma kwa mienzi 3 unapiga test ukifaulu unasoma degree. Naombeni mnisaidie
Wanajamvi, nam nahitaj ushaur wenu naplan ya kuomba course ya international relation,public adminstration na bachelor of project in planing,management and comm development, pale UDOM, Kwa score za 2 ya 12, hkl (d,d,d). Vp kna uwezekano wa kupata, na je zina tija? Naomben na ushaur wa ziada..
Jamani mimi nimemaliza mwaka huu form 6 nilipa 4.19 pcb yaani fss. Sasa nimejaribu kuulizia vyuo mbalimbali. Cbe wanasema naweza kusoma diploma za Bba,marketing,procument na accountance. Mlimani walisema nisome cheti cha computer science ndo niweze kusoma diploma yake. Ifm naweza kusoma diploma ya It na computer science. Saut naweza kusoma masomo ya pre entry kwa miezi 3 nafanya test nikifaulu nisome dree ya Bba,Advanced diploma ya accountance au procument. Sasa naomba mnisaidie mawazo nichague kozi gani ambayo nikiendelea nayo itanitoa? Af naomba kujua ni chuo gani Dsm kuna masomo ya pre entry. Yaani unasoma kwa mienzi 3 unapiga test ukifaulu unasoma degree. Naombeni mnisaidie
Nime apply cbe wakinichukua nitasoma diploma ya bussiness administration
Kaka huna nia nzuri na mimi. Kwa nini unatabiri kushindwa kila mara.
Nime apply cbe wakinichukua nitasoma diploma ya bussiness administration
Hayo ndo mawazo ya great thinker au great foolish.
Nime apply cbe wakinichukua nitasoma diploma ya bussiness administration
hizo dhalau kama huna mawazo ya kujenga afadhali ukaacha hii sijaipenda
Hayo ndo mawazo ya great thinker au great foolish.
Nime apply cbe wakinichukua nitasoma diploma ya bussiness administration