TECHNOBIZ INTL
Member
- Sep 30, 2010
- 19
- 0
mkuu nipo interested na hii kitu! ninacho itaji kujua ni gharama halisi kwa fedha za kibongo niwe na bajet ya kiasi gani hadi niimiliki? pili nahitaji kujua ni vipi biashara itafanyika ?. nasubiri jibu lako mkuu!Ndugu wana JF,
Tunapenda kuwatangazia kuwa tuna machine ya kutoa copy DVD/CD ambayo inaweza ku print DVD AND CD For a very reasonable price.
Wasaliana nasi haraka kwa maelekezo zaidi ya kutoa order yako kutoka hapa HONG KONG.
For more information open the attachment here:
mkuu nipo interested na hii kitu! ninacho itaji kujua ni gharama halisi kwa fedha za kibongo niwe na bajet ya kiasi gani hadi niimiliki? pili nahitaji kujua ni vipi biashara itafanyika ?. nasubiri jibu lako mkuu!
Itakuwa Bei gani hadi kuipata hapa Dar?
Nimejaribu kuwaangalia hawa TECHNOBIZ INTL. kwenye alibaba.com, hawajaweka bei ya hiyo machine, na walikuwa offline skuweza kuchat nao, Na huyu ndugu yetu hajasema kama hiyo bei aliyoandika 3999 hajasema kama ni dolari, yuan au pound ya mwingereza! ni machine nzuri ya KCHINA lakn hiyo bei kama ni USD mi naona ghali sana!
mkuu nipo interested na hii kitu! ninacho itaji kujua ni gharama halisi kwa fedha za kibongo niwe na bajet ya kiasi gani hadi niimiliki? pili nahitaji kujua ni vipi biashara itafanyika ?. nasubiri jibu lako mkuu!
Asante kwa taarifa hii. Je bei yake ikoje na malipo yanafanyikaje? Nikitaka inikute hapa Arusha, gharama yake itakuwaje na taratibu zake zitakuwaje including kulipia import duties/tax.
Itakuwa Bei gani hadi kuipata hapa Dar?
CIF DAR ES SALAAM PRICE US$ 3,999.00
BUT WE HAVE OTHER DVD DUPLICATING MACHINES WHICH ARE CHEAPER BUT WITHOUT DVD PRINTING FUNCTION,
NITUMIE EMAIL YAKO KWENYE technobiz.hk@gmail.com kuhusu malipo we may organize yakafanyika hapo hapo Tanzania